serious kbc na machozi ya mwanamke so mazuriiii yakitoka kwasabab ya mtu ohooo
2024-09-14 19:07:55
8
rosette suzana :
kama unakumbuka pia vilivyo moyoni mwako gonga like😭
2024-11-29 18:16:05
4
Call me Erica :
Nimelia tena😭😭nimekumbuka 2019
2024-11-23 19:53:29
25
Safia Abdi :
very true
2024-09-15 18:31:21
5
Mziwanda002 :
Kila napo Lia nikiwa Sina uwez wa.kifanya chocht naambiwa niache utoto...🙆🤦😭😭
2024-12-28 18:02:57
3
Naa🦋 :
🥰🥰🥰kabsa
2024-11-21 18:40:56
2
JENNIFER :
hapo umeongea kama wanaume Mia
2024-09-15 01:51:49
15
j@cqbaby🥰🥰 :
daaah Tena nilitoka kwake Jana yake nikampa kira kitu lakini bado kesho nikapiga sim akapokea mwanamke akanijibu yupo choon anaoga nilili sanaa
2025-01-31 22:24:36
4
Fetty :
Nililia mumewangu amekosa amani mwezi wa pili huu na sina mpango hata wa kukaa nikajieleza kwake kwa lolote nampenda ila nikimuona nakosa amani naumia aniwache tu💔
2024-12-06 05:42:15
9
Aines❤️❤️ :
Na asipolia ujue basi tena
2025-01-25 10:34:30
5
fatmamzee690 :
ndio maumbile yetu ila muwe makini sana maana chozi la mwanamke ni sumu likimwaika.
2024-11-28 07:13:09
4
victory💋💋 :
ⓓⓐⓗ
2024-10-05 19:15:59
2
Jackson :
sahihi
2024-10-01 19:01:15
2
Rayza :
kwel kabisa
2024-10-07 12:20:25
2
ray meshack :
upo sawa
2024-11-22 11:51:46
2
Deus dotto :
daaah mm niko hivyo mpk naambiwa huend hospitalin utakuwa unaumwa
2025-01-20 21:57:14
3
kairath40tz🇹🇿 :
Sahii
2024-11-25 11:01:05
1
To see more videos from user @nedy_vibes, please go to the Tikwm
homepage.