@joramu_nkumbi: Ndugu Salim Kikeke @salim_kikeke ni moja ya Watangazaji Mashuhuri ambao nilipenda kuwatazama na kuwasikiliza tangu nikiwa kijana mdogo kule Singida, sikuwa nimedhani wala kuvuta taamuli siku moja mtu aliyehoji Marais, mtu aliyehoji mabingwa na makamange wa Ulimwengu huu kwamba na mimi mja chochole ningeweza kupata bahati ya kuhojiwa naye. Basi yote haya nayahifadhi katika shajara ya moyo wangu, Ikawa usiku ikawa mchana, nayeyuka 🙏
JORAMU NKUMBI
Region: TZ
Saturday 14 September 2024 03:30:08 GMT
Music
Download
Comments
F.I.G.H.T.E.R_255 :
mlumbi ukilumbalumba na kijinadi kwenye vipande vyako (maeneo yako)
2024-09-14 05:54:54
15
Adv.Rhimba_olekoitumet✝️🇻🇦 :
Kaka nini maana ya "MINYARAFU"??
2024-09-17 04:15:24
0
CHAPA :
👏👏 mungu akuweke kaka tunajivunia ww kama taifa
2024-09-14 06:43:57
11
Abuu@123 :
utumwa wa lugha ndo huo
2024-09-15 07:00:03
1
Lawrence :
Maliza video kwanza acha kukimbilia comments😂
2024-09-14 10:29:52
5
Baraka Jastin :
mzee wa fasihi ndye huyu
2024-09-14 09:49:47
8
Moraka :
Dawa ni kutumia kiswahili katika kufundishia kuanzia chekechea hadi chuo kikuu vinginevyo tusiwalaumu Wasomi wetu.
2024-09-14 17:51:26
2
ZOMBIE 🫡 :
mashaaallah 🙏
2024-09-14 03:53:34
3
HarmonyQuill :
wewe ulikua wa kuachwa bafunii wewe
2024-09-15 21:18:23
2
harlinsafari :
David mlokozi
2024-09-14 14:36:04
2
Stanley David :
ahsante sana mkuu ..umejibu swali langu KIMBAKA toothpick
2024-09-14 04:09:05
4
fungameza :
nimependa
2024-09-14 12:50:54
2
GLOBALWISE TECH :
Uvivu wa kulima
2024-09-14 15:49:03
2
mark @buluma :
Kenya hyo kiota matela haitaeleweka🤣😂😂
2024-09-14 19:19:55
2
ellyhussein726 :
Oya kwamaerezo hayo. basi kiswahili .nikigumu sana luliko kingereza
2024-09-14 06:19:58
2
donsamsonmasila :
Hatari
2024-09-14 05:17:45
2
ChrisMangi :
vija mnyampaa🙏
2024-09-14 17:51:16
2
hasheemkaz :
Wakikutana huyu na yule jamaa wa Udom wallah hauambulii kitu na umbea wako.
2024-09-16 16:24:45
1
litclass0 :
mzee uwe unasoma hata linguistics au science ya lugha hasa sababu za code mixing na code switching.
2024-09-14 05:23:07
3
Hikups Kikons :
ukumbi
ni nini?
2024-09-14 06:46:57
4
🌿st bazil :
nakubali sana kaka sasa na pale juu kwenye bio wanasema pale ungetuekea na ile kiswahili tupate maneno ya kiswahili💯
2024-09-15 22:09:15
1
Ben_mycolin :
genius
2024-09-16 10:38:42
1
RJ :
Naaam, Asante Mkuu.
2024-09-14 04:11:17
1
mohamogeni1 :
mlumbi wa lugha ya kiswahili
2024-09-14 05:52:01
1
Al Bawab Tubla'q :
Hiyo KIOTOMOTELA" ingekiita SARAFU ALLE au SARAFU MASHINE. Kuna maneno yanatoa Ladha ya Lugha Yetu.
2024-09-14 17:40:13
1
To see more videos from user @joramu_nkumbi, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.