@islamshortvideo: #drislam#islamshortvideo#mtumemuhammad#ukumbushowakiislamu#uislamu#trending#trend

ISLAMSHORTVIDEO
ISLAMSHORTVIDEO
Open In TikTok:
Region: KE
Saturday 14 September 2024 09:47:52 GMT
24971
2321
286
223

Music

Download

Comments

brown0052
brown0052 :
fact sheikh
2024-09-14 15:17:19
4
atycyui7
Girl 👆💕💋🍃 :
true 💯 sheikh
2024-09-17 17:50:17
0
user7320935117069
Gustavo :
Muda wenu wakuumwa umefika sasa
2024-09-14 19:14:48
4
user5578608319680pemba
user5578608319680Al-bimany :
tujibuni ni swahaba gani na tabiina na tabi tabiina na mtume mwenye alisema tufate mahujaji siku ya arafa
2024-09-14 18:00:13
1
said.juma68
Truth is bitter :
Kwani maswahaba wameacha na kukengeuka mangapi ije kuwa maulidi...?
2024-09-15 03:15:10
0
funnyme774
funnyme774 :
tuambie swahaba Gani alifanya musabakatul Qur'an kupandisha watoto katika masteji Na kushindanisha watoto
2024-09-14 16:06:10
2
alpaccino4
Athman Al-paccino El :
Na musabaaqa ya Qura'an hawakufanya
2024-09-14 21:39:10
0
doctor.habil
Doctor Habil :
USIHADAIKE NA JINA BALI NI NINI KILICHOPO NDANI YAKE JE KINAFAA AU HAKIFAI “TUKUMBUKE HATA QUR-ANI HAIKUWA KWENYE MAANDISHI WAKATI WA MTUME BALI SWAHABA ABUBAKAR R.A JE NAYO NI BIDAA
2024-09-15 11:32:17
1
ree17467
Ree :
wao wanadai wao wanampenda mtume kuliko maswahaba😂😂😂😂😂
2024-09-14 16:49:56
2
user4369738393914
user4369738393914 :
silazima wafanye wao ulimwengu wenda na wakati.kwa kifupi hicho kipaza sauti unachotumia hapo mtume alitumia? akili kichwani mwako
2024-09-14 17:36:35
1
user6881709557395somoo
samba :
maaana ya muhammad kiswahili ni msifiwa na maulid mwanzo mpaka mwisho husifiwa msifuni mtume muhammad s.a.w
2024-09-14 21:30:46
4
zakariaomari968
zakariaomari968 :
Ingekuwa kugawanya tawheed n kheri wangefanya maswahaba
2024-09-15 08:17:58
3
wellfarmed
wellfarmed :
kuweka shadda, dhumma na Kasra katika Qur'an "ingekuwa ni kheyri... maswahaba si wangefanya?"
2024-09-15 04:37:17
2
bossladybajun
my name :
hata Leo kuna ziara zefe yaani tunaenda hata kama nishari kila mtu ana kaburi yake mwezi wakupinga huu hamchoko
2024-09-15 11:19:03
0
mrtik4
. :
wafanya manganin maswahaba hawajafanya...mbona kudanganya watu
2024-09-14 11:10:54
0
cadowcarab
Strong Man :
:Ok Adana ya kwanza Ijumaa mtume alifanya? Tarawiih kwa jama mtume alifanya? tahajud mtume alifanya? Mtume alijua Mihrab ya mskiti? Mtume alijua manara ya mskiti yote ni bidah sasa vp wewe?
2024-09-17 08:46:32
0
user1792263113150
mamali :
Allahu Akbar Tunaiona faida ya maulid Wasiokua waislam na waislam wanaopinga Maulid wanashtuka wakiona Dunia Nzima ikifika mwezi 12 mfunguo sita jinsi Dunia inavyosherehekea Uzawa wa Mtume
2024-09-15 03:35:13
0
user5578608319680pemba
user5578608319680Al-bimany :
mbona wenzenu washasema bora mziki kuliko maulid na wamesema bora zina kuliko maulid kafanyeni tu hayo mawahabi yaliyo bora kwenu
2024-09-14 18:04:52
0
mohd_shali
M○#D__$#@LI :
Mtume aliwaambia maswahaba zake nyinyi ni maswahaba zangu lkn kuna ndugi zangu watakuja maswahaba wakauliza ndo kina nani hao? mtume akasema wale ambao watakuja kuniamini bila kuniona..
2024-09-17 14:47:06
1
doctor.habil
Doctor Habil :
REJEA HADITH YUPO SWAHABA ALIYEKUWA AKISOMA SURATUL IKHLASWI KILA RAKAA NA WAPO WALIOMSHTAKI KWA MTUME NA MTUME ALIWAAMBIA MUULIZENI KWANINI ANAFANYA HILO NA ALIJIBU KWA MTUME AKALITUZA JE VIPI ???
2024-09-15 11:38:21
2
user3721833697107
Ali sabun :
shekh upo sahihi hakuna mtu anae watakia pepo kuliko mtume km maulid niibada asingejifanyia yeye tunafanya sisi halafu iweibada itakuwa nibidaa tu.
2024-09-15 03:22:03
2
mustaffah.el.maso
Mustaffah El Masoudge :
mbona masaha wameacha mengi sie tunafnya
2024-09-16 16:25:55
0
murshididrisa
murb :
sheikh uko sahihi kbs shukran kwa ukumbusho Allah akulipe kher inshaalah
2024-09-16 12:13:36
0
aliathmansaid
aliathmansaid :
lau mashindano ya Quran nikitu kizuri sanaa angefanya mtume Saw, au maswahaba au taabiina , mbona hawakufanya?. nanyie munafanya .
2024-09-16 04:11:35
0
user5578608319680pemba
user5578608319680Al-bimany :
ni kweli maswahaba na tabiina na tabi tabiina hawajafuta mahujani ktk funga ya arafa wala hakuna mtume au maswahaba kuamrisha jambo hilo
2024-09-14 17:57:22
1
To see more videos from user @islamshortvideo, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About