@hilali.elisha:

Hilali Elisha
Hilali Elisha
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 14 September 2024 10:41:13 GMT
1653763
43970
497
1763

Music

Download

Comments

user2308062984311
Elispecial :
Wanaokuja muwakumbushe kuna utekaji😁
2024-09-15 04:29:45
100
elizabethnafula10
lizzielizzie2 :
sasa wageni wataskia vipi kiswahili. talk English so that visitors can understand
2024-09-16 09:51:45
3
isol8879
Isol :
Excellent Company!
2024-09-23 03:42:19
2
mchaga412135
💛💚MANU😝 :
apo kwenye mama shupavu ndoulipo feli dada angu
2024-09-15 12:39:27
32
user2901997606842
suma :
home is the best 🙏🙏🙏
2024-10-17 16:31:22
2
gervas_massawe
Mshindi7 🇹🇿🇹🇿 :
simulation
2024-09-18 15:27:54
2
mg58340
MG :
ongera mama Samia miaka 10 Tena,
2024-09-15 06:54:28
16
kelvinemgaya
viny mgaya. :
mbona kiswahili akati wanaingia ni wageni wa kiswahili
2024-09-15 10:18:03
18
user6699759955309
Elmacha2000 🇹🇿 :
Mji wa Dar es Salaam ungekuwa umepangika hivyo tunge tamba sana
2024-09-16 09:10:49
16
juliusiranga
juliusiranga :
uko sio kwa julius nyerere, utakua wa uwanja wa kimataifa wa UNUNIO
2024-09-15 08:39:35
4
user4424636756310
Scholastica Makunja :
mama mchovu sio shupavu
2024-09-15 05:59:47
8
sheru2284
Sheru2 :
mashallah lugha ya Tanzania lugha huru ambayo sio ya utawaliwa tena Taifa huru Kiswahili lugha ya Taifa Tanzania. ukingia German,utasikia ki ujerumani,ukienda France kifaransa, English England.
2024-09-15 14:28:44
5
salma.abdul4
Salma Abdul :
InshaAllah, Yarabii turejeshe nyumbani salama itafika InshaAllah 🤲
2024-09-21 16:55:03
1
user2830538816186
dida :
hio sio Tanzania hatujafika huko bado
2024-09-15 06:44:32
6
willy.boy334
willson.. :
umeongea vizur tuuh,, umekosea kwenye shupavu tuuh
2024-09-16 20:31:50
1
paulo.lorri
Paulo Lorri :
matapeli hadi kwenye ndege
2024-10-13 17:00:09
1
user4382692582326
GYAN PLEASANT :
mwaka jana nilisfiri na hii kampuni,,nilipendezwa mno
2024-10-26 18:21:06
1
ranvillmx
Ranvilex.mx :
amesahau kuwajulaha uwepo wa MAFWELE....#Watu wasojulkana
2024-09-18 13:51:49
1
asiaa8675
chia :
proud to be Tanzania, proud of our kiswahili 👏👏👏👌
2024-09-16 13:06:11
10
97mrsipyanamwanjelah
Mrs Ipyana mwanjelah :
Kwenda Dubai ni shingap?
2024-09-15 12:24:10
8
josephndungu740
Gitungati022 :
Tanzania airport is better more than JKIA,bt our big problems is corrupt leadership
2024-09-17 20:12:10
3
amosalphonce4
amosalphonce91 :
yaani hapo Kwa kutaja mama shupavu2 tiali ushavuruga
2024-11-08 13:58:36
1
user6691271662460
princess Irene 😘🥰 :
🤣🤣 apo kwa mam shupavu umetudangany bwan
2024-10-18 20:20:48
2
happymartine3
happie❤❤ :
daaah hadi nimemiss home🥹🥹
2024-09-16 11:31:56
1
user1619515460869
Bundala jmtz :
acheni kumusifia wakati hakunaanachokiganua klakitu kiliachwa na mchomba
2024-10-08 20:02:24
1
To see more videos from user @hilali.elisha, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About