@shariff_said_john: Replying to @yuh.habibty #shariff_said_john #fyp #dream #tiktokuk #sweden #europe #spirituality #education #tiktokusa #comores🇰🇲 #healing #fyp

Sheikh Shariff Said John
Sheikh Shariff Said John
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 14 September 2024 22:26:07 GMT
1317037
34351
1717
2492

Music

Download

Comments

predatory9
Scorpion 🦂 :
Tunaoota ndoto za Shule tujuane hapa. Maana sio kwa kuhusudiwa huku 😂😂
2024-09-17 22:40:02
433
jmei_004
J~mei Beauty Spot :
Shekh samahani et jicho la kulia kucheza lina maana gn?
2024-09-15 05:08:17
31
sheycuty3
user5055721509101 :
suala shehe ukimuota mtume sw mara 2 inaleta maana gani
2024-09-15 04:06:44
39
fatummoha4
Qeen fatush :
almost 4yrs n dream tu y shle Mara n faya exm,n chza n m friends Wangu w 2017 😭😭
2024-09-15 09:41:46
70
vars3tti
Tamim💫 :
suluhisho lake sasa ni nini tuambie sheikh
2024-09-15 03:57:03
27
dongusto_2
don gusto 💦✨ :
Na Nivipi Mtu Atajitowa Ikiwa AmeshaAthirika Na Hasad...?
2024-09-15 04:42:00
17
fatumaabdallahkombo
Fatuma Abdallah Kombo :
ukiota kama kiama inakuwaje kama maji yanakuja upepo mkali na watu kusema Allah Akbar yani kama kiama hii inakuwaje???
2024-09-15 08:11:36
15
ricky3649
𝚏𝚊𝚢𝚖𝚒𝚗𝚊𝚑💕💖🖇️🖇️ :
inabidi ni dili na mungu maan kila siku shule 🥺🥺
2026-03-01 01:56:53
2
emmie.mussa6
emmie.mussa6 :
Yan mm naota sana niko shule naota sana najifungua na sina mimba
2024-11-22 05:54:37
7
artemisproplus_2026
Khamis :
mm naona nafundisha darasani km lecture hivi,tena nakuwa hodari sana
2024-09-15 05:12:53
13
user4054605920857
RM STRIVER* :
nawezaje kujiepusha na kuhusudiwa
2024-09-15 05:15:31
5
ayesher31
Aisha :
walahi Mimi huota kila siku Niko Shule Na marafiki zangu wa high skul...Na Ni watu tulipezana toka tumalize hatuna communication 😭😭kumbe Ni hasad mambo yangu hayaendii Nina kazi lkn mambo hayaendi😭
2024-09-17 13:52:41
22
aondowa
aondowae :
sheikh tupatie dawa na kinga ya hyo ndoto ya shule inatusumbua
2024-09-15 03:02:50
18
hajatkhadijasalli
hajatkhadijasalli :
no shekhe naweza ota ndoto hizo lkn ktk usiku mmoja naweza ota nipo na rais lkn tena nakua shule nazungukwa na samaki ghafla niko safarini ipovp hii shekhe ndoto ya vikwanzo na mafanikio ktk usiku mmo
2024-09-15 16:57:34
9
rashidyassin69
rashidyassin69 :
nimemuotea wanangu amefaulu kwa ufaulu wa juu nn maana yake
2024-09-14 22:47:06
5
haile_.maryam
haile_.maryam :
hasa kuhusu shule , you are 100% sure., tafadhali tupsaidie utaratibu wa tiba, aidha kukufuata au vyenginevyo.
2024-09-15 02:58:20
6
najmamdoli8761
Najma Suleman :
Naota marehem mama yangu analia kwa masikitiko nni maana yake
2025-10-01 17:56:23
0
wiseperson123456
Mamy 🥰 :
ustadh mie nimeota nakula pilau tena kwenye sherehe inamaana ganu hiyo?
2024-09-15 02:27:17
1
queen1_angel1
Angel :
Naomba mnijibu mm naota ninamimba au nina watoto mapacha naombeni mnijibu guys
2024-11-27 18:12:42
3
mrs.elia00
Mrs.Elia💍❤️🔐22 :
Kabisa mimi Mara kwa Mara naota nipo shule Ndio maana sijawahi kuendelea kiuchumi jaman🥺🥺🥺
2026-03-26 12:44:34
1
blackjaga96
blackjaga :
tufanyaje kuondoa vfungo na hasad
2025-03-20 09:18:09
2
nusratkhalifa69
Nusrat Khalifa :
Sasa iyo ndoto ya shule suluhu yke n nn msaada tafadhal
2024-10-25 09:29:46
2
yuh.habibty
𝔬𝔣𝔣𝔦𝔠𝔦𝔞𝔩 𝔰𝔴𝔞𝔪𝔪𝔶 :
asante, lakini nini nifanye kuepukana na hiyo ndoto
2024-09-14 22:31:04
3
_adui_
ADUI ☠️ 💀 :
juzi nimeota nipo na kiongozi leo nimeota nipo shule hii imekaaje sheikh
2026-02-04 01:15:25
1
To see more videos from user @shariff_said_john, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About