hv kwann viongoz wakiislam wapo kmya kama hawapo TZ vile!!!! au kwakuwa Raisi ni muislamu?!
2024-09-15 21:21:09
41
khaledmhina95 :
SHIDA TZ WANAJITAMBUA WACHACHE NA WENGI NI WABINAFSI
2024-09-15 19:59:29
39
user4682175932241 :
amina mchungaji
2024-09-15 14:14:00
6
user9846682239005 :
My Great ,Prophet ; you always prophesies the truth
2024-09-15 15:05:52
2
ZAWADI MBOE :
hakika wewe ni nabii wa kweli.mungu naomba kumbuka tanzania
2024-09-15 18:34:03
10
T J :
nikikumbuka ulivotabiri kifo cha JPM hadi leo naamini wewe upo vizuri na mungu tunakuombea uzidi kuwa na afya njema , Ameeen
2024-09-18 15:25:05
3
Emmanuel Peter :
hakika ww ni nabii
2024-09-15 18:26:44
2
beatricemhone :
10 Akasema, Umefanya nini? Sauti ya damu ya ndugu yako inanililia kutoka katika ardhi.
Mwanzo 4:10
11 Basi sasa, umelaaniwa wewe katika ardhi, iliyofumbua kinywa chake ipokee damu ya ndugu yako kwa
2024-09-16 07:55:27
3
user2850635518256 :
shukia lafia uliza watakuelekeza wenyeji Mungu anamtumia
2024-09-16 12:49:51
0
Tonibrea kaboza :
ss lolinga nakupenda baba ang, maneno yako ni mungu pekee huwa anayatanka kupitia kinywa chako👍👍
2024-09-16 10:39:21
1
Boss lady ❤️ :
uko sawa baba
2024-10-18 10:19:57
1
caframadhan :
na ushog unaendelea yup kmy2 inaonekana kabisa anaelewa kinacho enderea au misaada itaponza kaka zet na ndg zetu atoi at tamko kar awawat awajaw wengi
2024-09-17 14:00:46
1
tinahshoemaker :
Mungu akulinde mtumishi Mungu msema ukweli ❤️❤️❤️❤️
2025-05-05 04:22:40
1
venancy :
we unaesema huuo mchungaj analta sias huna akili kwai hayo snayongea yap hsu ayap
2024-09-17 14:08:31
2
popo :
ATAEKUFATENI NYIE NIMWENDAWAZIMU CHINI KICHAA KAMA NYINYI NAHUYO NISHETANI KAMANYIE MASHETANI MWENYE AKILI TIMAMU HAMUMDANGANYI WAPUMBAVU NYIE MMEKWISHAAAAAA
2024-11-05 20:55:01
0
Malaika :
Samia ni rafiki wa karibu wa Ruto, Huwezi kuwa na utu ushikane na muovu ,wanafanana
2024-09-17 05:32:59
1
LUIMA MICROFINACE :
sas watafungia makanisa mangap kama ndy hivi😳😳😳
2025-06-03 10:37:54
0
Miss Bhoke 💋👸 :
Mungu mbna umetuacha hv Mungu wangu
2024-11-22 17:05:40
0
popo :
MAUWAJI YAPO KILANCHI HAKUNA NCHI ILOKOSA DHAMBI WW SIO MUNGU WAKUMFANYA MAMASAMIA ASIWE RAISI SHEITWANI MKUBWAWW, MASHETANI WAKUBWA NYIE HAMNALOLOTE KAZIYENU NIUONGO TU MMEONA UONGOZI BORA UMENYOOKA