@hermajesty____: @KAJU kwani ulikua huoni kwamba nilikua nishalijibu hilo swali na nimepata majibu bila tabu? Kwa nini usimame kwangu ndio useme tulisome vizuri? Kumaanisha nini yani? 🌚🌚💔💔 #hermajesty #shule #chuo #mitihani #chumbachamtihani #exams #examroom #ue #universityexaminations #mwalimu
hermajesty👑
Region: TZ
Monday 16 September 2024 11:06:43 GMT
Music
Download
Comments
dear.nayna :
😂😂😂 We
2024-11-06 04:34:23
1
JustKatarina :
Sonyo hilo was very personal 😂😂😂😂😂
2024-09-16 17:10:23
4
marggie😘 :
😂😂😂😂😂😂😂law of contract
2024-09-18 06:55:02
1
itc_daisy :
🤣🤣always my fav
2024-09-17 04:07:08
1
Mariam Andambike🇹🇿 :
😂😂😂😂😂🤣🤣this was too personal
2024-09-22 21:19:08
1
sameen🇹🇿 :
😂 😂 Chemistry
2024-09-18 02:03:16
1
𝕧𝕚𝕔𝕜𝕪.. :
filter?🙏🙏
2024-09-30 18:29:58
0
BizzyOfficial :
Dah nmekumbuka mbali me ndo mana nilikuwa naficha, kwasababu kunamwalimu ampiga jamaa fimbo ya utosi manA alishindwa kuvumilia upuuuzi😂😂😂😂
2024-09-16 18:03:35
19
🦋l.a.s.t.b.o.r.n🦋 :
😂😂Nimecheka, hii kitu iliwahi nikuta akat nipo advance😂😂 nilikulupukia swali nikaenda OP😂😂🙌🏾🙌🏾
2024-09-16 12:53:06
7
cute girl :
mwalim akikaribia na nikaona nmejaza upuuzi nafichaaaa🤣🤣ila nikiona amekuja na nmejaza vya kweliii🤣aloooh naiacha mwaah aone kma na mie kchwan zimo
2024-09-18 04:37:36
5
nasra abass😘 :
🤣🤣🤣 yani me nikiona unakazia macho kweny mtian wng nalalia karatas si jibu adi uondoke yani spendag ujinga🤣🤣🤣🤣
2024-09-17 09:58:09
3
@official_haithamtz :
😂😂😂jamn mimechek hadi nimefukuzwa mezan
2024-10-11 18:29:10
1
Moreally :
😡😡 nilikua nachukia sana hii tabia Bora aniache tu nanilichojijazia
2024-12-04 09:27:43
1
Lightness Stuart :
yan hapo mtu unavurugwa balaa😂😂
2024-09-16 17:46:21
2
FeehCollection💨💣 :
Sipendii.. kila mtu atajua we kilaza.. umejibu vibaya🤣🤣. Ila shule
2024-09-16 15:50:47
2
onesmo :
kikichonikuta kwenye moko mkoa
2024-11-12 05:32:09
1
Linne 🦋❤️ :
😂😂😂 Awa walim wanaboa sana yani anaona ulichokifanya ndo anatangazia watu
2024-11-11 16:27:29
1
Amie✨ :
Fr sipendagi hii🤣🙌🏻
2024-11-09 07:54:30
1
Edna cute🦋 :
😂😂😂😂😂😂😂haki nmecheka jaman
2024-11-05 08:32:18
1
Deris :
umenikumbusha mbali m mwalim alisoma nachoandika akasema kuna wengine wanajitungia maswal yao😅😅
2024-10-26 11:36:07
1
user3499569397797 :
inaniihusu hii nakumbuka mbaliiii
2024-10-23 23:56:15
1
Nae💞 :
Nakumbuk alkuja akasimama pembn yangu,,nkastop kuandika nkajdai nasoma swali😅😅
2024-09-16 19:56:42
4
mashukamtumbagrade01 :
Mimi walimu wa hivi nilikuwa sitetereki unakuta msimamizi mwalimu wa Kiswahili na ananichachafya wakati wa Paper ya Chemistry😂😂😂🙌
2024-09-18 21:01:26
3
Mildee Said..💕 :
Nimecheka sana😂😂😂😂 nakumbuka mwalimu wa Biology alikuwa anatembea kila chumb cha mtihan akikuta umejaza ujinga unakula bakola za mgongo😂😂😂😂
2024-09-17 22:26:56
2
To see more videos from user @hermajesty____, please go to the Tikwm
homepage.