na mwanaume atakae lala Ili Hali mke wake amemkasirikia nn hukum yake
2024-09-17 16:59:57
25
ayihrafsalat :
What if he refused to talk to her even when tried to talk to him amemkataa kabisa mke hata hajui shida imetokea wapi?
2024-09-18 16:48:12
14
FIRECOP :
si mpaka awe uaswali basi😂😂😂😂
2026-02-08 00:31:36
0
why :
mume wang kwanza ananunaga bila sababu akiwa hana pesa niminuno tu sasa nabembeleza nn shehe kinyongo hakimuishi
2024-09-18 17:34:21
15
mimah :
Allah atusamehe kwa hili
2024-09-17 17:18:58
14
swry_hurz :
Sheikh mwanmke tuu mbna hujasemaa na wanawaume pia
2024-09-18 18:53:24
6
Ayan :
😂😂😂😂😂😂😂uwongo mtupu
2024-09-23 20:59:56
2
thy hassan :
Tatizo wanapenda kukasirika bila sababu
2024-09-22 15:18:24
4
user1767916177482 :
safi
2024-10-13 04:56:10
2
sadalajumanne :
shhehe. alla akujaze herii
2024-09-22 18:02:03
7
shey :
wanaume hao ni wapi wa enzi za adam na hawa au hawa wa zama za singeli
2024-09-21 14:37:43
3
FIDI FILAM :
nakupenda kwajiliya alla
2024-10-31 22:45:24
2
ma8?$mab :
mwanamme jee yeye hukumuyake
2024-10-29 07:32:15
2
♡Fatimah♡ :
Mbna si mwanaume ambae atalala kma mkewake amekasirikia
2024-09-18 10:49:29
2
Maryam :
MSITUCHOSHEE😂😂
2024-09-24 20:06:23
3
Rango de Ramie :
kweli
2024-10-13 16:56:26
1
🌸💮Harsh💮🌸 :
subhan Allah Allah aturahisishie kwa ndoa zetu
2024-09-18 23:19:48
7
Sheru2 :
mashekh,mnazungumzia Sana wanawake
jamani, hutubieni, wanaume na watoto wakiume, wanawake wana teseka ktk ndoa Sana, na watoto wa kiume kuto thamini wazazi wake sababu ya mke.🤔wakumbushe waume pia.
2024-09-18 10:54:59
3
dogo kipepeo :
dah shekhe hat kosa liwe lamwanaune kunun munanuna wote iwej tupat zambi ss wanawak t
2024-10-29 17:00:33
2
Maman Bio😍 :
Ndo kwa mana Allah kasema pepo yake tutaingiya ni kwa Huruma yake tuu😂😂😂 Yani wanawake wengi hatungeingiya peponi sababu wanaume wengi ni Shidaaaa zano kwa wanawake zao
2024-10-11 14:23:15
1
Ashura Sethi :
Nikweli wpo wanaume wa dizaini hiy
2024-09-19 13:05:23
2
Aziza Enerest :
kama umemuomba msamaa bado ataki kusamee inakaaje apo
2024-10-03 20:51:52
2
user5805812114603 :
huyu shehhe anakiti chake peponi wote wa Ainahiyo makaziyao motoni Amina
2024-10-12 14:43:42
2
To see more videos from user @jamiatvkenya, please go to the Tikwm
homepage.