@hemedjumaa: SURAH AL MAARIJ 70:29-31 #sheikhmselembinaly

Darsa Za Sheikh Mselem Bin Ali
Darsa Za Sheikh Mselem Bin Ali
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 18 September 2024 06:57:03 GMT
92480
7084
139
578

Music

Download

Comments

mwarabuwakusini99
Bashir99 :
😂😂😂😂😂😂hapo kwenye kupanda mnazi kwa mkono mmoja aisle sheikh wapo wengi sana na kila kijana % kubwa nadhani wamepitia.
2024-09-18 07:47:59
8
itzmpking15
ITzMP~KING04 :
Shukran Sana Allah akulipe heri Maalim 🤲
2024-09-18 09:02:52
6
sakhasa1919
Linguistis@119 :
Subhannallah tumuombe Allah atusamehe dhambi zetu
2024-09-18 07:36:49
4
samghun24
samghun24 :
mashallah jmn watu wanasoma anatoa mawaidha kwa reference y quran 😭 Ya rabbi tufungulie elm y dini zaid n zaid kabla kufa kwetu
2024-09-19 17:40:24
4
suleimansalum74
suleimansalum1375 :
katika shekhe ninae mkubali Zanzibar n ww shekhe mselemu mungu akuwek
2024-09-20 02:48:14
4
adil.mhene
Sikiliza mwanangu :
MashAllah 🤩 Allah atujaalie tuwe niwenye mazingatio
2024-09-18 11:45:11
3
ustadhi.rai
Ustadhi Rai :
Allah Atuzidishie imani.
2024-09-21 20:26:05
2
mubarakladha
mubarakladha :
Salaam alaikum Please mention the quran verse in English number for our Reference
2024-09-18 07:41:23
2
abdullaomar1
abdullaomar1 :
Allah akujaalie umri mrefu shehe wetu hakika unatufanunulia kt mpk mtu ameelewa ulicho ongea
2024-09-19 14:40:44
2
khatib.ali79
Khatib Ali :
🙏Allah atupe mwisho mwema
2024-09-19 10:17:41
2
casim_muuh
casim_muuh :
Allah Akbar Allah Akbar Allah Akbar
2024-10-15 20:27:08
1
nurusalim261
Ummu khalifa :
Mashallah tabarakallah...Mawaidha mazuri na yanatolewa kwa utulivu..Allah atupe masikio yakusikia, macho ya kuona na moyo wa kupenda mambo ya kheri..
2024-10-11 14:10:53
1
user3165072920163
sultan :
Allah atuhifadhi
2024-09-27 13:32:13
1
user5573721036718
PLAN B :
Allah akbar mashallah neema hizo nganima
2024-09-25 00:58:46
1
iamissablack
Issa Black :
Asante Mwalimu. Allah akulipe kheri In Sha Allah😇
2024-10-09 05:21:54
1
faraji6011
faraji :
mungu akupe mwisho mwema shekhe nakukubal sana
2024-09-22 07:15:56
1
user8724277290784
🌹 :
shukran kwakutuelimish
2024-09-20 09:33:51
1
user6388135670746shuaib
shuaiib :
Masha Allah funzo nzur ..shekh muselem mungu Akujailie umri mrefu wa ibadah sute
2024-09-20 08:06:18
1
myamyahya
myamyahya :
Allah atujaaliye tudumu na imani yetu kwa Allah. Na atufishe hali ya kuwa waislamu.
2024-10-30 15:10:16
1
kalwah20
kalwah ❤️😘 :
🤣🤣🤣
2024-09-19 18:12:53
1
riziqshelshel
Ummu Ayman :
My sheikh Allah akulipe,,,
2024-09-18 10:19:00
1
khamissadik1985gmail.com
KHAMIS MZENJI :
❤❤❤
2024-09-18 11:36:30
1
toz4402
toz :
mtihani sana
2024-09-18 10:48:44
1
sweetyirene1
irene :
Allah atulijaalie mwisho mwem
2024-09-18 13:47:27
1
goodluckmhada1
goodluck :
naaaaam
2024-09-18 09:22:08
1
To see more videos from user @hemedjumaa, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About