@paschalcassian04: TIMIZA NDOTO COMING SOON NAONA MAPOKEZI NIMAKUBWA SANA WATU WANGU BASI IMENIDHIHILISHIA NIJINSI GANI MNAPENDA KIPAWA CHANGU BASI MPAKA LEO JIONI NITAWAPA TAR YA KUTOKA HUU WIMBO ASANTENI MLIO ANZA KUBARIKIWA NA HUU UJIO MPYA BADA YA DUNIA IKO MWISHONI KAMA NIMAOMBI YAKO BASI WENDE NA CAHRENJI NIAANZA KUWA POST KUANZIA LEO JIONI
Nataman nije nipate mume kama huyo mwenye hofu ya mungu
2024-09-19 17:00:37
40
mngoni og :
ila nyie huyu kaka anajua kuimba jmn mm toka nianze kumsikiliza sijawahi ona nyimba mbaya jmn watu wanakipaji asee kaka Mungu akusimamie sana🥰
2024-09-27 05:57:36
1
SalomePrecious :
juzi umeweka Martha Mwaipaja ati ni mwimbaji wa uongo juu ya make up...
huyo wangu ni nini amejipaka...makucha yake mbona kapaka...
leave judgement to God.
we are diehard followers of Martha Mwaipaja
2024-09-19 06:55:40
11
Shaffie 💜☺ :
Karibu Kenya my best gospel artist🙏🙏
2024-09-23 20:42:52
6
Adorateur Guillaume radjabu :
Kunawimbo tulioisubiriha tangu ila hujaitoa inaitwa"KIAPO CHA DAMU"
2024-09-20 12:17:40
3
Luck Goodluck :
nikiwa mkubwa nataka nije kuwa kama wewe
2024-09-20 07:09:57
5
Edither daniel :
nataman nikutumie mungu wang 100%
2024-09-19 01:02:33
7
Eveline :
hata mimi na Mimie namuomba mungu atimize ndoto zangu
2024-09-24 10:08:01
2
adassa kalenga :
que Dieu puisse t'attendre papa wangu 🙏🙏🙏
2024-09-19 14:15:09
3
Edwige kanyere :
🙏mungu akusaidiye
2024-09-20 15:39:55
2
Johnny kabulo :
mtumishi nakupenda Sana, nakufata tokea DRC République of Congo, nyimbo zote Zako nazipendaka Sana, zina nifariji sana