Kupitia huu wimbo Mungu anisameh mim tangu nimempoteza mtot wang nimekua mtu wa kulalamik kwann mim kwann mtot wang ,,😭😭sjh nitasahau lini? lini nitakubari matokeo n kumwambia MUNGU Asante 🙆🥹
2024-09-26 05:54:44
49
sifa ❤️🤞 :
nyimbo zako zinangusa san maisha yangu ubarikiwe kwa kaz njema hakika mungu atafany zaid
2024-09-18 10:40:15
70
Imanizzo :
sijawah kukupinga broooo
2024-10-31 06:40:58
3
LIGO👑 GEMINI♊️ :
Bro trust me usije ata sku moja kuacha nyimbo za kumshukuru Mungu znatugusa weng sana keep it uppp
2024-10-17 20:58:37
2
rachel_ :
unatisha sana broo nakukubali kinyama
2024-10-27 12:04:57
2
Mom Shu❤️💃 :
huu wimbo hujatoka
2024-09-18 18:44:34
10
Official ney☑️ :
🥰nmekuwa wa kwanza nipongeze
2024-09-18 10:28:47
6
niyigena Cynthia :
Amen 🙌 Mungu asante sana 🥰🥰🥰🥰🥰
2025-04-24 19:07:48
1
Jacky Emanuel :
Ubarikiwee Sanaa Obby Mungu Akuiniue Zaid na Akuongeze kw Ajili Ya Utukufu wakee
2024-10-24 08:14:33
1
Doreen Isdory :
Mungu azidi kukuinua zaidi natamani nipate album nzima ya nyimbo zako barikiwa wewe na uzao wako my young brother 🙏🙏
2025-03-26 02:47:23
1
Ms geeh🦋❤️💙 :
baba kumbe haya maumivu ni dawa unisamehe nililalamikaa💔😔
2024-09-21 09:06:02
2
ESTONE JOSHUA🇹🇿..❤️ :
🙏🙏🙏MUNGU ATUTIE NGUVU KAKA
2024-10-28 20:28:46
1
Ayubu Mwikola_ :
hua na comment😅
2024-10-25 12:53:50
1
Savicx :
kijan angu✊✊
2024-10-15 05:43:01
1
user6817982249606 :
kwa cku nasikiliza mara kumi hakika mungu akutunze sana obby mana nabarikiwa sna na nyimbo zako
2025-01-25 09:34:17
1
phinah🌹 :
Amen 🙏, umeniponya
2024-10-21 21:35:24
1
Being illuh🦋♐️ :
Nyimbo zako zinanibarik San 🥺🔥❤️
2024-09-19 00:12:13
5
No one like me@❤️🩹 :
huu wimbo unanifariji sana
2024-10-22 19:29:25
1
laidahماريس_TSB :
Dah kumbe yale maumivu ni sawa😔😔😔
2024-10-23 23:09:17
1
official angel :
nyimbo inaitwaje jmn
2024-10-24 17:24:11
1
Moseh kim :
asante kwa baraka unazonipatia usiku na mchana
2024-10-11 18:08:39
1
@56 irene@ :
jaman brother umekuwa baraka sana kwa watu nyimbo zako zime nifunza vitu kadhaa MUNGU akutunze
2024-09-20 12:00:41
3
Balqhis Roshan :
inaitwaje hii ngoma wacha nikupe maua yakooo
2024-10-21 14:13:35
1
lilianmwasunga :
kwah huu mwimbo unaitwaje mweeh
2024-09-23 08:43:14
2
Annapaulagreen❤️❤️ :
Hivi huo moto unaowaka huna mnawasha channel gani
2024-10-22 15:38:07
1
To see more videos from user @obbyalpha, please go to the Tikwm
homepage.