@miss_mg255: Nuttin Nuh Go So Song by Notch and Tony Kelly#lyricsmusic

Miss_Maria
Miss_Maria
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 18 September 2024 15:30:05 GMT
72957
1498
78
7

Music

Download

Comments

rosqaldo2
Rosq Aldo :
me maana Ake hainisaidii chochote kikubwa nimevibe😂😂😂
2024-09-26 06:15:05
17
necymwakafuje
necymwakafuje :
nimeenda kuangalia nimerud tupu mkenya mmoja ajitokeze anifafanulie nitampa umbea wa bongo kuwa mondi amepakwa futa🤣🤣🤣
2024-09-26 18:41:55
15
friday_night_sokoni
FRIDAY NIGHT sokoni. :
Wanaimba kama haujawai kula unga BAs ww bado sana, km haujawai kufanya mapenz yA jinsia moja we Ndio bado Saana kabisa. Km hauvuti bangi basi umechelewa sana , km haunywi pombe had ukazima we bado sna
2024-09-26 19:12:10
8
user6702660126559
Mchizy kichizy :
kuna ile ya shaggy ya strength of women daaah ile nyimbo kamtukana sana Mungu wetu 😢😢😢
2024-09-26 16:11:26
8
fredy.chacha.mkom
Fredy chacha mkome :
shida nibamerican English nyingi
2024-09-27 08:55:03
2
pricess_glory
Gloria :
Ni nyimbo inayozungumzia abortion( utoaji wa mimba hovyo hovyo)
2024-10-09 10:18:42
3
bin.shiboli
Nas lee :
kasongo yeeh mobali nanga kasongo mbona weee
2024-10-29 16:25:29
2
alexguyan8
Guyan :
inamaana gani mamaa?!..🥺
2024-09-21 07:17:55
2
omary_ahmed7
Omary Ahmed🇹🇿🇹🇿 :
amna ukitaka kumla bata usimchunguz we vibe tu
2024-09-25 05:45:50
5
www.tiktok.dvirus
Virus :
ulibuy gari ukashindwa kubuy carpet ukaona atandike makotoni😂😂😂😂
2024-10-18 15:13:05
1
ngindo.07
kepha ngindo :
Mi sielew kwanza nilijua ya mapenz 😂😂😂
2024-10-02 17:19:56
2
mimah921
Mimah :
wimbo unaitwaje
2024-09-24 19:30:43
0
allan_artist
sAyLe$ :
Duh eti usibuild muscle za mabega kwa mguu wako wa tatu umeisikia hiyo
2024-10-08 17:50:38
1
tahilcasty
Tahil Casty :
nn chaajabu sasa 😁😁
2024-09-27 07:38:13
0
user25329243925627
zawadi Thomas :
sielewi na naupenda hatari
2024-10-08 09:55:19
0
senior.axu
Senior Axu :
vp kuhusu "tera ghata" mva vibe nayo mnaelewa maana.
2024-09-27 06:21:09
0
mhema50
mhema :
🤣🤣ukielewa ni apo mzozo tatizo lugha asee 🤣 mi nilivoujua nilichoka
2024-09-26 21:13:16
0
barakamuganyizi
Baraka E Muganyizi :
Nilikuwa napenda messy in heaven lakini baada ya kusoma lyrics zake So sad
2024-10-01 03:57:26
0
everyniceeugene
snice cute♏ :
.Wanaimba kama haujawai kula unga BAs ww bado sana, km haujawai kufanya mapenz yA jinsia moja we Ndio bado Saana kabisa. Km hauvuti bangi basi umechelewa sana , km haunywi pombe ha
2024-10-28 09:29:10
0
rayhoney08
rayhoney08 :
capital kitu uko nuhgoso nimetoka empty
2024-09-27 10:04:32
0
matilda.moris
Tilda♓️❤️💯💥 :
unajua nacheka nn 🤣🤣
2024-09-27 09:20:04
0
user1691565930810
butterfly 🦋 :
duh Leo ndio nimejua aisee 😂 lkn sas kwann nae aimbe kwa vibe mm hiv ad wat tunajua ametuombia ya club au anatak kutuzalilish
2024-10-07 01:57:39
0
listerner29
Carol :
Lkn tulikua watoto sana kuelewa mwaya 🥺
2025-11-12 22:17:51
0
squishy_boy96
Squishy_boy :
dah hapa ndiyo nasoma shazam matusi matupu wameimba yaani ukiitafsiri hapa unachafua hali ya hewa😁😁😁😁😁
2024-09-26 23:50:57
0
da.hu3083
Miss Hu 🥰🥰 :
ina mamb ya kiutu uzima mam kanikataz🤫🤫🤫
2024-09-26 22:09:00
0
To see more videos from user @miss_mg255, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About