@pixeltanzania: "ADD ME" FEATURE PIXEL 9 SERIES #pixel9 #fyp #tanzania #tiktoktanzania #foryoupage #madebygoogle #pixel9proxl #fyp

pixeltz
pixeltz
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 18 September 2024 17:24:59 GMT
1380209
77682
1237
3469

Music

Download

Comments

director_mbeki
mbeki graphy🇹🇿 :
We unayesoma cooment hii . Sikujui hunijui ila naomba mungu akabariki kazi ya mikono yako . Sema amin🙏🙏🙏
2024-09-18 21:08:54
1523
26jo9
26jo9 :
iphone 16 pro..wanalia
2024-09-18 18:33:17
400
bree_star7
Bree star :
kama unaamini one day utatumia google pixel 9 pro xl inshallah angusha kopa🥺
2024-09-19 10:08:46
609
vijibwenipochi
vijibwenipochi :
Iphone users typing and deleting 😂😁
2024-09-18 20:10:01
145
biamboytz
biam$ :
Sisi wa Infinix tuna comment wap🤔🤔
2024-09-19 05:27:07
31
daxmontana06
D4X! M0NT4N4⚠️ :
mbn Mimi anfanya kilasiku kwenye Infinix yangu😂😂😂
2024-09-19 06:45:31
89
lefteyes7
lefteyes7 :
Lakini ndo status azi onekani 😁
2024-09-18 21:43:53
118
mimigamingtz
T͜͡pMiMi :
Ayo masimu yanazengua viooo kujizima
2024-09-19 12:04:06
14
philosopher100100
🅣🅗🅔 🅞🅝🅔 :
unyama ambao hata meneja wa google pixel haujui🤣🤣
2024-09-18 20:05:46
38
ctopdrum
ChrisTopdrum :
wakati iPhone 16 new feature yao ni kupause video wakati unarecord halaf unaendelea kurecord.. feature ambayo hadi Tecno inayo tena toka 2020🤣🤣🤣
2024-09-18 21:54:50
33
mrsme9
Barbie🎀🌹❤️✨ :
unyama mwingi kwenye pixel ever😍❤️
2024-09-27 10:23:27
5
truth_tz
𓆩 Truth 𓆪 :
Bro cm hatar iyo 🔥🔥
2024-09-19 05:12:19
11
nuohnation
handsome :
aah hii feature itawagombanisha watu🥺😳
2024-09-20 21:59:00
5
geoffreytz
Geofrey Trey G :
Niwaambie tu ukweli hii OPPO yangu inanitosha sna na natamba nayo mtatuua nyie mnataka tushindwe kusomesha watoto😏😏
2024-09-20 06:24:35
5
abooki55
JACK SUMBUSO ABOOKI :
Mbona iPhone hawanaga marketing ya ivi ila hata uwe na s24 au pixel Hauna heshima kama wa iPhone hata 11🤣🤣
2024-09-19 10:01:03
9
koulibalynyossojr
KOULIBALY 2️⃣6️⃣ :
Ishu Yenu Imekaa Kishamba Sana Anko
2024-09-19 05:17:05
6
yubal_jerome007
Yubal_jerome :
mbona iyo ipo kitamboo kwenye Samsung j8
2024-09-19 12:56:34
6
emmanuelgasto
𝑪𝒂𝒃𝒂𝒚𝒆 𝑱𝒓 𝑴𝒖𝒈𝒂𝒏✪ :
me siach kutumia google pixel
2024-09-19 05:09:25
13
jsoundbrand
JONG :
Huo n unyama
2024-09-18 18:20:39
20
userpp48lsv0bh
user50520148517 :
Lkn status ZENUU hatuzionii bwana Mussa😂😂😒😒
2024-09-19 04:39:32
20
luxefx.empire
Luxe :
zooming inafikia s24 ultra?
2024-09-19 04:43:09
89
ms_emmy6
emmy 🦋 :
iphone brand inakaa bar soap now days🤣🤣🤣
2024-09-19 05:26:42
13
forrtis
FORRTIS :
aaah😂😂 hii najinunulia on my bday
2024-09-19 05:45:25
13
neycmickybonnie
Neycmicky :
hehehe hapa ...ndio wanaume watatudanganyaa mpaka tuchanganyikiwe😂😂
2024-09-19 03:44:04
5
zombietz3
zombietz3 :
wenye iPhone wametandika msiba
2024-09-18 20:02:33
15
To see more videos from user @pixeltanzania, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About