Kama unaielewa combination ya Striker Jaivah na Marioo #Bad twende sawa hapa 🔥
2024-09-19 08:40:11
185
nora :
any Nigerian here🇳🇬
cause
na Swahili I just dey see
2024-09-29 09:25:46
88
@flory :
wanaomkubali marioo 🔥🔥 drop like hapo
2024-09-19 10:51:28
178
its graice qeen :
Oya na tumbo lang mbk nifanye hii challenge 😹😹🙌
2024-09-19 12:41:19
9
kamuche :
nomaaaaaaaaaaaa
2024-09-19 12:48:48
5
mti wanaman🌹 :
Nana do hichokigoma 😂🥰🥰🥰🥰
2024-09-19 11:05:05
6
pay 45 :
kwel kaka nakubali sana
2024-09-19 10:51:53
6
Stella John :
marioo tupumzishe jamaniii
2024-09-19 12:08:42
7
abbby :
nakupenda sana yan nasubir usinijibu ni like video zako zote😂😂😂
2024-09-19 13:14:06
8
AJ STAR TZ :
hakuna kitu apo mim kama basata na nyie mnautaka naona
2024-09-19 10:40:57
5
Rich wife🍎…realme✝️ :
Baba amara nina wimbo uje nikupe zawadi umuimbie mama amara🙈
2024-09-19 13:31:42
6
mam :
Akiamunguu katika wasanii nnaowakubali ndani ya moyo wanguu marioo, jaivah na harmonize nyie watuu heeee mwenyezi mungu azid kuwapa nguvu nyota yenu ing'aeeeee🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2024-09-19 09:04:46
9
Jojo galaxy 😍 :
waomba bia mjiandae 😂😂😂
2024-09-19 13:59:21
5
@J - Spark 04⚡️…Official :
Oya kk sikupingi hauna baya umeuwa
2024-09-19 11:27:01
6
morata godoro :
nauza magodoro aina zotee
2024-09-19 11:37:54
5
Jeremiah :
hii beat jamaaaaaa aliipatiaaa sasa
2024-09-19 14:52:16
5
kabombo_anna29 :
ewaaaaaah🔥🔥🔥
2024-09-19 12:43:26
7
AZIZI NJOVU CHUMA :
Aloooo
2024-09-19 08:57:31
8
️ :
The only mistake done is making marioo's verse begin coz ata uko mbele si skilizi I'm on repeat kwa marioo tuu 🔥🔥
2024-09-19 17:45:23
253
Terry Wanaman" :
ILI GOMA LINATOKA LINI BABA AMARA MANA MWENZIO NATAKA NIUE JPIL SASA I WISH HII NGOMA INIPE VIBE AT GHETO😂😂
2024-09-19 11:53:09
10
A_bb_y♓😎 :
Kama una amin Hii ni world wide song tujuane🙏
2024-09-19 11:00:02
5
dukemillz77 :
ume uwa broo
2024-09-19 11:23:44
5
To see more videos from user @marioo_bad, please go to the Tikwm
homepage.