@gasperandemma: Ni sumu tunakula ndio mana mimi nakula zangu ugali na dagaa daily😁😅#chungwatamu#matunda #tunakulasumu#siopoa #tiktokdaressalaam #mwanzatiktok #nairobitiktokers🇰🇪 #fypage
Kaka hayo ni improved breed kaka. Hata Carot hizi tunazokula zipo improved miaka 80 iliyopita, kuku pia, ng'ombe, maindi n.k Hayo yote ni kufanya chakula kiwe cha kutosha na hakuna madhara..
2024-09-20 18:30:11
3
David Japhet :
ivi bro huyo mke wako ulimpataje?
2024-09-20 13:56:36
1
refilwe_4 :
gasper unazingua uko ulaya hauna kazi?
2024-09-20 15:22:02
0
Abu|udA :
hadi parachichi mmmmh 🤣🤣🤣
2024-09-20 18:01:08
4
King Freddy 👑 :
agiza kutoka Tz
2024-10-15 12:01:38
0
summer :
ni kweli machungwa ya huku hayana mbegu au jingine jekundu tupu ndani
2024-09-20 14:44:06
2
user9534100858044 :
wazungu washtakiwe kwa kutoa copy kilaki2 wanatualibia wanyama
2024-11-15 08:53:55
2
masterkratos :
mzee usiite wazungu mabeberu, umezaa na mzungu. watoto wako siku moja wataona hizi video. unada
hani watamuonaje mama yao?.
2024-10-29 19:38:50
2
official shakilah :
machungwa ya dar pia yapo ivo yaaan ata ladha ya asili ya chungwa hakuna 🤣🤣🤣
2024-11-28 20:54:35
1
To see more videos from user @gasperandemma, please go to the Tikwm
homepage.