@aannaernst: #maldives #malediven #travel #jetski #ocean #underwater #oceanlife #sea #holiday #goviral #speed #memories #girls #jetskilife #crazyview #summervibes #blue #viral

anna
anna
Open In TikTok:
Region: DE
Friday 20 September 2024 14:10:52 GMT
2643
168
9
32

Music

Download

Comments

amina.tney
Amina Tüney :
Wow 🏝️🩵🤍🩵
2024-09-20 14:12:38
3
allegegenmoe
+(0)434334 :
🇲🇻🇲🇻
2024-09-20 14:15:40
2
allegegenmoe
+(0)434334 :
🩵🩵
2024-09-20 14:15:30
2
jonasmarvinm
Jonas🐢 :
✈️✈️
2024-09-20 14:21:46
1
amina.tney
Amina Tüney :
🩵🩵🩵
2024-09-20 14:13:25
1
eema.aa0
ema :
🩵🩵
2024-09-20 14:13:16
1
To see more videos from user @aannaernst, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

Surah Baqarah || Ayah 233 Katika Aya hii zimetajwa hukumu saba za kunyonyesha kama ifuatavyo:- 1. Haki ya kumnyonyesha mtoto ni ya mama mzazi. Amepewa haki hii kwa vile yeye ndiye mwenye chakula cha kimwili; maziwa, na chakula cha kiroho; mapenzi ya mama. 2. Si lazima kunyonyesha kuwe miaka miwili kamili; isipokuwa ni kwa ajili ya kutimiza kunyonyesha. Mnyonyeshaji hawezi kudai malipo ya kunyonyesha zaidi ya miaka miwili, na kunyonyeshwa mtoto baada ya miaka miwili na mtu wa kando hakuwezi kusababisha uharamu kati ya mnyonyeshaji na mtoto. 3. Chakula na mavazi ya mama mnyonyeshaji ni juu ya baba hata kama wameachana; ili mama aweze kumakinika na kumnyonyesha mtoto wake. Makusudio ya desturi ni kuangalia hali ya matumizi ya mke katika jamii yake na vile vile kuangalia uwezo wa baba. 4. Mtoto asifanywe ni chambo cha kukomoana kati ya baba na mama. 5. Akifa baba ni wajibu kwa warithi kuhakikisha upatikanaji wa mahitaji ya mnyonyeshaji. 6. Baba na mama kwa kushauriana wanaweza kumwachisha mtoto kabla ya miaka miwili au baada yake kwa maslahi ya mtoto. 7. Inajuzu kwa baba kumpa mnyonyeshaji mwingine, lakini hilo lisisababishe kumnyima mama haki zake kama amewahi kumnyonyesha hapo mwanzo. Yaani ni juu ya baba kumpatia haki (malipo) yake kila mmoja, awe mama mzazi wa mtoto au mwingine. Kwa ujumla ni kuwa ingawaje Aya hii inawahusu wote, lakini imeelemea zaidi kwa wale walioachana; ndio maana mwisho wanahadharishwa kuwa haitakikani tofauti baina ya mume na mke zipelekee kuteseka wao au mtoto. Na wajue kuwa Mwenyezi Mungu anaangalia matendo yao yote. Na hii ni kuonyesha ni kiasi gani Uislamu unavyotilia umuhimu wa suala la watoto na akina mama; kinyume na wanavyodai wapinzani wa Uislamu. Msomaji: @bakarmmanga  #nurunaimani #nuruyetu #quran

About