Kabsa 💯 tusamehe walotukosea na sisi Allah atusameh hakika sisi sote ni wapita njia…!!
2024-11-26 13:15:54
8
Mommy and Junior kids outfit :
kusamehe sio rahisi
2024-09-22 17:20:06
2
Salma mbwana :
Asalam aleykum swali langu ni mwanaume kumuhudumia mwanamke hajamuowa kuislamu hii imekaaje nisawa yaani mtarajiwa wake,,
2024-10-27 17:32:29
3
aunty_.zuuh :
a aleikum mimi Nina dada yangu amenizulia urongo nimelala na mume wake basi said tuna miaka hatuongei mpaka said pia watoto wake wanitafuta maneno na kunitusi kisha Mimi nilitaka kumuomba msamaha sio kwaajili nimetenda hilo Jambo la sijafanya Mimi namuomba msamaga kwaajili nataka undugu wetu ubaki vile vile lakini yeye amekataa kabisaaa hara majirani pia washamwambia lakini hataki basi Mimi nikamwambia weweee dadangu umekataa undugu kwa dhana basi Mimi sijaukataa undugu mbele ya allah.sasa sai twaishi pamoja kwa nyumba ya mama yetu lakini bado akiniona yuwanirushia maneno na mwishowe mtoto wake wakike alinitukana nje mbele za watu na kunambia maneno hayo hayo .wewee umelala na babangu akaja akanipiga na kuninyonga hivi sasa sheikh mimi nimeondoka nyumba ya mamangu nimeenda Kwa ndugu yangu nimeingia hofu najua watakuna niuwa.nilienda spitali na kuonekana alama za kucha na pia akaniuma kwa kidole.nikachukuwa p3bt siku mshika nikamuachia allah.mpaka sai Niko kwa ndugu yangu.asalam aleikum sheikh othman
2025-09-01 18:59:21
7
CONTAWA ABAYA :
@CONTAWA:jana kuna mwamba nimempa lifti kwenye gari yangu mida kama ya saa tatu hivi usiku maeneo ya toronto. basi jamaa akawa anasema ety jinsi ninavyoendesha gari namkumbusha enzi za uhai wake🥺🥺🥺
2024-09-26 19:03:21
1
mimah05 :
yaarab nifanye niwe mtu wakusamehe 🤲🤲🤲
2026-01-29 05:23:03
1
user7932434742519 :
tupende kusamehe na ss tusamehewe
2024-09-23 04:14:36
4
Mama Triple H :
Ni kugumu lkn yabid kusahau na kusonga mbele maana ukiyaweka sana moyoni yanaumiza kila ukikumbuka
2024-09-27 12:32:54
3
OMMY LEVO🌏💫 :
S w
2024-09-21 07:48:20
2
Shafii ramadhani🧐🧐🧐 :
amin
2024-10-20 20:47:38
2
Boss Amani :
ALHAMDHULILLAH😢maasha Allah
2024-11-16 22:49:34
2
Sid :
mashallah and alhamdullilah
2024-09-23 20:32:17
2
As'habul jannat00 :
Allahummah swali wasalim wabarik Aleihy
2024-11-15 08:29:02
1
bby lillard.0 :
hakika 😭 Allah atupe subira n atuwafikishe juu ya hili 🙏
2025-02-13 14:41:18
3
uche :
subhanallah
2024-10-17 20:27:54
1
shadya :
sana
2024-12-09 05:03:19
1
Zena Bate :
kweli shekhe wangu
2024-10-29 11:17:11
1
Shafii ramadhani🧐🧐🧐 :
maashallah
2024-10-20 20:47:34
2
@bin saleh :
Allah akuhifadh
2024-09-21 15:04:09
2
Jobo boy :
𝐌𝐚𝐚𝐬𝐡𝐚𝐥𝐥𝐚𝐡
2024-12-06 06:56:07
1
jr.sockss :
Shekhe wangu kipenz
2025-06-22 06:53:01
1
Arshaq firoz :
S.A.W
2024-09-21 06:48:47
2
Sugar :
Mashallah sheikh
2024-10-09 08:25:01
2
fully wallet 💰💵 :
S A W
2024-09-21 09:07:41
1
Leila Jumanne :
kweli
2024-11-09 22:22:44
1
To see more videos from user @forthegoodlegacy, please go to the Tikwm
homepage.