@petro.mindset: #quran #bible #dubai #YearOnTikTok #keşfet #dúo #pre #military #procreate #anime #alightmotion #bismillahfyp #God #goviral #tutorial

Petro Mindset
Petro Mindset
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 21 September 2024 13:41:00 GMT
3133
82
33
1

Music

Download

Comments

dully_dollar
Dully_dollar :
for your peace of mind, don't try to understand everything 🙌🙌🙌
2024-09-21 16:26:37
2
user7655186281812
jay Tz :
we nikaong umeona wap unapajua makaa
2024-09-24 12:24:56
2
dully_dollar
Dully_dollar :
for your peace of mind, don't try to understand everything 🙌🙌🙌
2024-09-21 16:26:37
2
aziziallyyasin
azizi ay :
ukiangalia kwa umakin na kuzum utagundua mtoa post Hana uakika na alicho post hiyo michoro haipo Ni maandishi tu em jarib kuchunguza kabla ya kupost ujinga umenifanya niende mpka google kuhakikisha
2024-09-25 12:37:48
2
ramso.kajembe
Ramso Kajembe :
ibilis ailiahidi kumpotosha mwanaadam pande zote. anajarib kutekwa fikra za watu na kuzupeleka sehem tofauti tofauti
2024-09-25 14:10:07
1
karume655
karume :
dahhh nimeelewa jamani wanatupelekesha haw wapo kujpendekeza Kwa mayahudi
2024-09-24 17:55:19
2
user2815690688837
King London boy Tz :
Allah pekee ndy anaejua kuhus hil
2024-09-21 17:43:37
3
mohamedsadallah06
Mohamed Sadallah228 :
hakuna kitu utapata utangoja kama askar wa zam ukitaka kufaham hayo tafuta njia nzuri ya kuuliza na sio kutuma kwa mtandao kama unakashfu
2024-09-22 08:18:19
2
user6786857816988gg
ggpwash :
amna akil iyo micholo alikua anaitumia mtume suleiman saw tafuta kisa cha amri10 zamwenyezmungu
2024-09-22 07:18:20
2
user61926723956823
phina :
leo wamepatikana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2024-09-21 17:56:25
2
laurentmandali
Laurent Mandali :
🤔🤔, nasubir comments nisome😒
2024-09-21 14:53:19
2
omar.mihambo
Omar Mihambo :
hao wanaalibu Dini
2024-09-21 14:48:07
2
ally_kisamvu
Ally Kisamvu :
kwa mfano hayo mapembe ni mamlaka kuu za kidunia ,hilo tundu ni uke yaan uumbwaji wa mwanadam huingia na kutokea hapo ndio uungu wa kimwili upo hapo
2024-09-22 10:18:47
1
user4775611159822
Ayoub_khan :
allah akbar
2024-09-21 18:52:21
1
ramso.kajembe
Ramso Kajembe :
kila mmoja anatafsili kivyake na uwelewa wake ila tambua kwamba ibilis ailiahidi kumpotosha mwanaadam. ila ww umejaribu kufananisha lakini hauna uhak
2024-09-25 14:05:23
2
ally_kisamvu
Ally Kisamvu :
ni alama za wajenzi huru ambazo kila wanapojenga kitu chochote lazima kuacha alama zao tafsiri ya hizo alama kila alama ina maana yake
2024-09-22 10:16:48
2
To see more videos from user @petro.mindset, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About