@tessychocolate: Safari ya kutafuta maisha na kuondokana na shida za nyumbani, imemtoa Nurdin Mtwara mpaka kumleta Dar Es Salaam. TABASAMU NA MOMO imekutana na kuongea na mtoto Nurdin ambae naamini hadithi yake itakugusa na kukushawishi uwe sehemu ya kurudisha tabasamu lake. Kitu kikubwa nilichojifunza kwenye story ya Nurdin ni imani yake ya kupambana kuondokana na shida na kutokata tamaa ya kujaribu tena na tena licha ya kukutana na vikwazo kadhaa. Mahitaji makubwa ya Nurdin kwa sasa ni kusomea ujuzi wowote katika chuo cha VETA ambao utamsaidia kuyabadilisha maisha yake, lakini pia kupata sehemu ya kuishi, chakula pamoja na mavazi. Kwa yoyote mwenye kuguswa na hili, tafadhali wasiliana moja kwa moja na Nurdin kupitia namba yake ya simu +255 777 524 282 (Zantel) tushiriki kwa pamoja kuwa sehemu ya mabadiliko ya maisha ya mtoto Nurdin. #TabasamuNaMomo
uyo dogo namjua fika yan jirani yangu wa kijiji jirani uyo dog anazngua san iyo ndo tabia yake kutorokatoroka
2024-09-30 20:17:23
1
abdikadirmahamuud7 :
god bless you
2024-10-01 17:30:41
0
MÌZÕ MDŌLÌ :
pambania unachoamini kitafany maisha yako yatabadilik... mxhkj mpk kufikia apo ndoto zake zinaelekea kutimia sasa.. one 💘 love one dreams ✨
2024-09-27 07:51:25
4
kida :
daaaah maisha 😭😭😭😭😭😭
2024-10-05 02:16:23
0
Mashoty gê :
daa maisha bwana
2024-10-16 06:42:31
2
Fagatozy🙄 :
dah st0liy inauzunisha sana danh😊😊
2024-11-29 10:33:02
0
Diko rama 17 :
dah mungu ambaliki
2024-11-05 12:28:40
0
muksin_07 :
🙏🙏🙏 mungu akubalk dogo
2024-11-12 23:45:16
0
James Godfrey :
dogoh utatoboa....ila ucile dawaaah tafadhar ili Mungu akikuinua utoee ushuhuda
2024-12-06 21:37:31
0
Maryam158 :
Mungu amtie nguvu Nurdin.. ila nilichompendea mtoto huyu anasimulia bila kutia huruma wala machozi ni mpambanaji haswaaa…
2024-09-24 10:59:04
15
modelling rajma :
nimeliaaa mimi ilaa mungu akafanyee mipango yako ikawee imara nayakufanikiwaa zaidii🤲🙏 tunapitiaa vitu vingi sanaa ilaa watu niwachache wahvii
2024-09-22 14:33:01
33
sultana ❤️🔥🇹🇿&🇧🇮 :
ila anafanana na marioo🥺😭
2024-09-24 07:18:21
23
Karembo Ally :
Chinga mzamiaji Mungu akubariki mdogo wangu juhudi zako za kupambana na umasikini hakika naamin siku moja hii itabaki kuwa historia na utasimulia hawataamini usikate tamaa mdogo wetu
2024-09-27 08:30:04
12
Richard Kabulile :
watu kama hawa mungu anawainua sana dogo lazma anatoboa
2024-09-27 20:20:45
11
Snow Tibo :
nimependa anavyo ongea kwa ujasiri aisee
2024-09-26 18:27:47
11
Azizah hasheem2 :
Anaonekana mdogo🥺💔maisha yamemkomaza
2024-09-23 23:46:19
11
shakiru rpc :
dah mungu bado yuko pamj na wew make si kwa changamoto zaivy utafika mbar kwa makubwa
2024-09-26 19:50:27
9
NICOLAUSBARNABA :
Hakuna mtu jasiri katika ulimwengu huu Kama mwanaume maisha changamoto za home zinatufanya tufanye yote ili familia zetu zikae poa mungu mbaliki baba
2024-09-26 16:14:06
8
DEEJAH MAROST :
mungu wang miambwe duuh 😭 jaman mbali akuna ata huduma za jamiii😭😭
2024-09-24 17:59:32
7
Mr Jetski 🥇 :
Nipate japo Namba yake dahhh aje Zanzibar kwangu😔
2024-09-27 22:24:04
6
❤️ ❤️ ❤️ :
So sad wallah 😭ya rabby wabariki wanaume wote kwa ajili ya familia zaoo 🤲
2024-09-26 17:07:14
4
💎CHAJELO OFFICIALLY 👑 :
dogo stor yako imeniliza kinoma yan mungu ata kua jibu kwako....
2024-09-30 00:57:54
4
G_maro :
uyo nibilionea mtalajiwa soon atakuja kuwaajr wenye dgree. Bonge la Boss mtalajiwa🥰
2024-09-27 06:32:29
4
emmy :
ila maisha yanamambo mengi sana mambo mengine yanaumiza sana
2024-09-26 20:21:52
3
£zo* :
dahahhah so pain 😭😭 yote ayo sababu ya kujuia wazazi hawan uwezo. sem Nn wanaume wote pepon
2024-09-26 20:17:13
3
asma honey :
nimelia sana jamni pole sana mdogo angu 😭😭 mungu akufanyie wepesi inshallah
2024-09-27 13:57:50
3
Ms Dee❤️👌 :
So sad😭😭 jmn hadi nimelia kuna watu wanapitia maisha magumu sana😭😭
2024-09-24 10:22:47
3
Bonifasi Kung'anilo :
God bless your🙏
2024-09-26 18:34:32
3
chusa boy :
Mungu akupe maisha janja
2024-09-27 10:31:36
3
🅜🅐🅚🅐🅨🅐 🅔🅡🅐🅢🅣🅞🥊🥊 :
😂😂😂😂
2024-09-27 20:49:28
2
khadidjaanushk :
pole baba
2024-09-27 07:46:44
2
RIKKEYSH :
kunakitu cha kujifunza kwa huyu mwamba mungu akusimamie✌️🫡
2024-09-27 20:09:33
2
JEY :
aya maisha alafu una fanikiwa alafu mtu ana kwambia usitumiee pesa
2024-09-26 15:55:10
2
Misrah🥀 :
Haya maisha jamni yani kuna mda unapitia maisha magumu mpaka unasema kwanini nilizaliwa ukija kusimuliwa na mwenzio aliyoyapitia yani unajikuta unamwambia mungu asant haya yangu ni madogo😭😭😭
Uyu dogo nikweli anachokiongea namjua sana alikua anatafuta maisha alikua anashinda bichi tu ila hakuwai kuiba kitu cha mtu ila alikua muongeaji sana stendi ya mtwara ndio lilikua chimbo lake ila.mung
2024-10-04 04:04:48
2
bin issa :
oyo sopoa dog kapamban yan iyo stor mpk choz😥 mung akufunlie rizk z halal big up san😔😔
2024-10-28 07:52:09
2
Last_king🫅🏿 :
Nawalika Kwenye party
2024-09-28 07:37:29
2
Maryam158 :
Bigup ana akili kubwa sana na atafanikiwa🤝
2024-09-24 11:00:38
2
Salma mbwana :
tunampataje?
2024-09-24 12:21:02
2
Zaina💝 :
mkono wa mungu mtanguli kijana huyu tajiri wa kesho
2024-09-28 01:07:14
2
Sheila 🇧🇮❤️ :
sijutuyi kukufollow wee dada ubarikiwe saaana❤️
2024-09-24 20:07:53
2
tinashe_kinabo :
🥹🥹🥹🥹
2024-09-23 09:41:59
2
LizyKido🤍💦 :
🥺🥺🥺
2024-09-22 23:15:05
2
gram_433 :
Duuh
2024-09-27 11:22:54
1
𝔹𝕖𝕟 𝕣𝕚𝕕𝕖𝕣 :
our language 👊
2024-09-29 10:33:35
1
Paulo Joseph :
dah pole jembe langu hayo ni mafuzo ya maisha ukipata kumbuka uliko toka na ulipo🙏 mungu akufungulie milango za rizki
2024-09-29 20:57:49
1
Hilally Mayota :
Dada Mimi ni mtu wa mihambwe hapo anapo pasemea yupo wap nampata mdogo wangu nimependa upambanaji wake na Kuna madogo wengine nimekuja nao mwezi wa 6 nao wapo mbagala wa napambana
2024-09-28 11:13:20
1
🦋Minahismail06🦋 :
mungu akubarirki
2024-09-27 11:52:31
1
masumbuko88 :
Ila maisha haya jmni ipo cku pambana itabki story 2💪
2024-09-27 11:48:12
1
To see more videos from user @tessychocolate, please go to the Tikwm
homepage.