@officialalikiba: Hii nyimbo ya ma X @alikiba #foryou #foryoupage #tik #tiktok #tiktokindia #tiktokuni #tiktoker #tiktoktainment #tiktoktanzania #tiktokkenya #tiktokzanzibar #tiktokmombasa #tiktoknews #dubai #a #beautiful #tiktokuganda #StarterEp #alikiba #KingKiba

Alikiba
Alikiba
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 24 September 2024 19:02:36 GMT
549521
46200
1042
1295

Music

Download

Comments

missnosie2
Miss Mather Queen :
I love alikiba nikiwa 13yrs now Niko 27 and still Niko hapa songs zake ziko 👌👌👌👌🥰🥰🥰
2024-09-25 18:42:35
102
j_journey0
J Journey :
tunaoamini kama king ndo fundi wa bongofleva hapa bongo tuweke likes zetu hapa
2024-09-24 21:08:32
397
eshally33
ESHALLY 💌 :
The Goat 🐐 The King 👑 The African role model None tattoo... MashaAllah my brother. Umeweza wallahi
2024-09-25 08:58:14
114
aishatheboss1
Aisha :
song king kiba hazinaga chenga 🔥🔥🔥🔥
2024-09-25 09:13:06
5
user7571762781729
lucky muhindo :
nimeipenda sana King kiba DRC
2024-09-25 06:48:20
6
adam_pocoloco
pocoloco.🍁 :
ep imebuma😂😂😂 @comasava😎
2024-09-24 19:08:14
5
tnanahmacha
tnanahmacha :
team kiba king 🤴 of the music ❤❤❤❤
2024-09-25 05:33:53
31
goodluck.moses5
Goodluck moses :
jaymelod kakukalisha kaka
2024-09-24 20:45:45
24
husseinthebrand
husseinthebrand :
Alikiba! Alikiba, Alikiba kaka, nimekuita mara tatu. Kaka unajua kuimba na mziki unakujua unachoufanya. Mziki wako = Chakula … Mimi naomba mashabiki wako wausome huu ujumbe wangu na waufanyie kazi.
2025-03-30 09:26:17
9
cryptococcus753
vennix omar :
The king nilinyanganywa simu shule juu yako 🤣🤣🤣
2024-10-17 13:11:56
6
jaysmasherfalsafa
Jay Smasher Falsafa :
mfalme ni wewe Tu ,,, Alikiba,,,,,Allah akulinde
2024-09-25 05:45:27
5
obey.chirwaa
Chata ya Mtaa👣 :
Sisi ambao hatuna mambo mengi team kiba tujuane🫶🫡🫡
2024-10-02 17:49:24
10
wwwjbright2
J Bright :
enyewe achana na yule mbwa wa mwanzo! king k niko bamburi navuka next wiki show ya ajabu!!! 🥰
2024-09-24 19:46:47
7
madoutnoel
Mad out TANZANIA🇹🇿💦 :
KAMA HUIPEND CCM GONGA LIKE HAPA
2024-11-30 05:25:44
12
tajmahal.tv
Taj Mahal :
apa kusema ukweli ulimada 💣
2024-09-25 08:28:44
11
official_dalmas
Official Dalmas :
King kama king 🤴 mimi nilitoa Ep wakenya wakakanyagia ila Inshallah ntafanya wewe collaboration na naamini ntakua mkubwa kimziki kama wewe,God willing 🙏
2024-09-24 19:12:27
28
barbiee_kelly
Fifi🧸💕 :
Na leo ndio nimeachwa rasmi 😂
2024-09-24 21:19:16
10
mu_health_solutiin
Mu_Health_Solutiin :
kama unaamini Alikiba ndio mfalme wa bongo tugonge like zetu nyingi hapa
2024-10-25 09:44:33
12
ave.wa.alvin
miss ave❤️ :
💖💖💖💖 ninavo kupenda natamani ata unipe mimba unitelekeze tu.😂
2024-09-30 15:10:48
10
milanmila171
milanmila17 :
much love from uganda 🥰🥰🥰🥰
2024-09-25 12:37:19
9
akinyi079
Mercy Akinyi 🇰🇪❤️ :
VOICE NOTE BUTTON NEEDED 😫😭😭😭 TIKTOK PLEASE
2024-09-25 10:39:32
8
janeth.moris7
Janeth Moris :
Sijawai kukufananisha na msanii yoyote wew ndio bingwa wew niatali sana kak unatisha sana nakupenda mpaka naumwa
2024-09-24 21:46:59
16
shankairr
shankairr :
wachana na yule mbwa wa mwanzo alinikondeshaa🤣🤣🤣🤣🤣 binadamu ndo mnaita mbwaa🤣🤣🤣🤣
2024-09-26 14:38:00
6
arrowboy45
Ig_🔥Arrow Boy 💯💫😎 :
Timu King 👑 kiba tujuane hapa ♥️
2024-09-30 21:04:48
6
barbie_wg
Barbie_B❤️ :
my favorite song in the whole EP😊😊💘
2024-09-25 13:50:30
6
To see more videos from user @officialalikiba, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About