@tz_melumy: Unafanya kwa baba wa mwenzio ili iweje af utafute umerogwa wap kumbe ni laana ya mungu 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 #trending #new #work #kijogoo #fyp #tiktokchllnge #musicvideo #islamic
Kipindi tunaomba baba zetu warudishwe duniani ata kwa dakika kumi wafaidike na matunda yetu kuna watu wanawavunja moyo baba za watu na kuwadharilisha mungu mbariki uyu baba popot alipo asee 😭😭😭
2024-09-26 15:19:29
175
kato :
kwako ni mlinzi kwetu ni baba mzazi
2024-09-26 10:22:34
308
yusuph :
afu kuna lifala lakuja uko lasema nani kama mama
2024-09-26 14:36:47
35
To see more videos from user @tz_melumy, please go to the Tikwm
homepage.