@mt_rita_wa_kashia: NOVENA YENYE NGUVU, NOVENA YENYE MAJIBU YA HARAKA, IKIWA UTACHUKUA HATUA NA KUSALI KWA IMANI, KWA MAOMBEZI YAKE YENYE NGUVU TUNAPOKEA YALE TUNAYOMWOMBA MUNGU KWA IMANI #kenyagospel #media #kizito #katolikitanzania #ugandanstiktok #kenyatiktok #kenyan #catholism #kenyantiktok🇰🇪 #kwayakatolikitza #fyp #ritawakashia #kwayakatoliki #novena #kwaya #kisiicatholictiktokers #kwayakatolikieast #gospelchallenge #viral #catholicchurch

mt_rita_wa_kashia
mt_rita_wa_kashia
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 28 September 2024 06:53:07 GMT
115993
4635
305
1023

Music

Download

Comments

janetmaingi42
janetmaingi42 :
ukimaliza kusali hakuna litania ama unamalizia apo kwa salam Maria na atukuzwe
2024-09-28 07:50:03
8
magretnovatus
Mrs Namazongo❤️‍🔥🦋🌹 :
Hii novena kiboko jmn nilisali siku moja tu lakini MUNGU amejibu tena zaidi nilikuomba Asant mt ritha
2024-10-16 07:31:09
17
barbie886547
𓆩👑𓆪𝑸𝑨𝑻𝑶𝑻𝑶-𝑽𝑰𝑵𓆩👑 :
Mt Rita utuombee
2026-08-02 12:19:09
1
user3576817369583
Sweet annie :
inasaidia sana sana, niliponea kufukuzwa kazi Jana baada ya kuomba hii novena ya masaa kum na tano, anatenda🙏
2024-09-29 19:18:20
12
user87074416569847
janeth mnzava :
naomba uniombeee nimebebe mimba na nipate mapcha amen
2024-10-18 21:17:59
6
user5812251072001
@simply_ivy🎀🧸 :
unaposali hii novena ni lazima uingie kwenye mfungo??
2025-12-11 20:53:44
1
janemacha79
Jane joram❤️😍 :
Jamn mm ni mlutheri nataman kusali hii naruhusiwa na nasalije naomba muongoza plz jmn
2024-12-01 12:19:46
3
t249766
@T :
Mungu, naomba, nisaidie, mwanangu, Hance, umuongeze, ufahamu, zaidi, pale, ambapo, amelemewa, afanye, MTIHANI, wake, wa, from, two, vizur, afaulu, Amina
2024-10-11 06:48:09
9
crazyfan055
Arsenal mum😘♥ :
Je,,hii novena ya masaa kumi na matano,,nafaa kuisali yote siku tisa kwa siku moja? au nasali vipi...naomba kujua tafadhali🙏🏻
2024-10-20 11:00:37
0
user35476346027615
utukufu wa mwisho ni mkuu :
Novena yenye miujiza na inasaliwa kila saa kwa masaa Tisa mfululizo
2026-04-28 14:40:54
1
oliva.augustine
Oliva Augustine :
napenda kuuliza kuwa inasaliwa siku ngapi
2024-11-04 16:34:58
1
irene.alex54
miss Boss :
mm ninanyonyesha je naweza kusali novena hii bila kufunga?
2024-12-02 04:18:30
0
chibu26
YounG LioN🦁 :
kuna uwezo wa mungu kupitia hii sala inasaidia sana
2024-09-29 10:23:34
5
honest.girl56
honest girl :
jaman mbona siion kwenye kitabu chang cha novena ya Mt. Ritha emb naomba mniambie ipo ukurasa wa ngap
2024-10-05 06:58:37
1
cardyer.mic
😍its*zay🦋💗 :
Je ni lazima ufunge
2025-03-15 00:49:52
0
itsleyla37
Leyla❤️🌹 :
Novena hi inauzwa na aya maomb unayasali kila saa yan 1 kamili unasali saa 2 kamili unasali ad tafike masaa 15
2024-09-28 16:30:27
1
itsmoodwithhawa0
MoodzWithHawa🥳 :
Jamani mm kuna lisaa nililipitiliza nikaja kuisoma dakika za mbele kidogo sio kamili je nmekosea au la
2024-12-02 10:19:30
0
jeniferemmanuel7
Jane :
nahitaji rafiki anifundishe hii novena 🥺
2024-10-28 06:37:47
0
irenebongoye
Mama yao :
unatenga saa moja moja kila siku ama unasali masaa kumi na tano mfulilisho?
2024-10-17 12:51:48
0
lucy.linus1
Lucy Linus :
jaman naomb nkuulz je kama nlifunga Jana nkamaliza saa Tano uck je Leo nawez kufunga tena
2025-06-14 04:05:07
0
lucy_lee23
Lucy Lee :
jmn mm nanyonyesha naweza sali bila kufunga🙏
2024-11-06 17:57:50
0
nigwez6
Nigwez6 :
naomba mnisaidie kusali novena mpk ufunge au?? maana sielew mim
2024-11-04 18:39:46
0
12kinya
kikie :
is it done after every hour?
2024-10-01 04:19:07
4
neyqwejy
Qwejy. em💞 :
ni unataja shida Moja au hta zaid
2024-10-07 07:09:43
0
To see more videos from user @mt_rita_wa_kashia, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About