@erastojohn47: #😂😂😂😂😂 #dottomagari #issatambuu #ugandatiktok🇺🇬 #ningeriatiktok🇳🇬 #rwandatiktok🇷🇼 #kenyantiktok🇰🇪 #tanzania

Erastokimaro
Erastokimaro
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 28 September 2024 07:47:24 GMT
412247
18477
214
147

Music

Download

Comments

chiefuthedoni2
chiefuthedoni2 :
Mtu anapewa hela za bure bado anahesabu! ili iweje sasa? hela ya bure haipelei! Unahesabu kwani unataka ngapi na umeniuzia nini?
2024-09-30 13:08:36
86
araperfumesandscents
scentsbyara :
ila dotto is kind hearted lazma aombeage na wenzie hela hajifikiriagi peke ake 🥰
2024-12-07 14:35:35
65
msesegwa
msesegwa :
kama Kuna kabila nimeishi nao nawajua vzr ni wazaramo ni wachoyo Sana nahisi hata shetani atakua ni mzaramo.
2024-10-07 08:56:42
29
official_jozy
Jozy :
issa alivyo ona dotto kapewa hela kapiga eheee
2024-10-02 11:19:56
13
haile_.maryam
haile_.maryam :
Doto leo ndo nimekupenda
2024-09-28 14:55:41
19
panjobelo
panjobelo :
camera man unasahau majukum yako kwenye pesa
2024-10-14 12:06:57
11
mushup96
henrysama858 :
Umeongea kiume brother Respect 👊🏿
2024-10-11 20:41:01
7
offical_efm008
Emma008 :
Siku zote dunia haina huruma kwa mwanaume asiye na kitu, umaskini kwa mwanaume ni mateso sana. Ukiona unaweza kumshika mkono mwanaume mwezako mshike.
2024-10-04 05:28:15
29
abbasi_jr1
abbasi_jr1 :
Nani kasikia dotto kasema apo kwenye 30 ana fungu lake kwa watoto😂😂😂
2025-11-19 07:35:35
1
ceifadorsafari
Kauli ya MUNGU🇰🇷🇰🇷 :
issa unavyo esabu ela mashine haioni ndani
2025-07-28 18:22:35
2
ruff_love0
Ruffluv_bbq :
dotto waona pesa wababaika kweli issa ongea nae dotto atulze akili
2024-09-28 11:05:36
7
user5286657247979
user5286657247979 :
ndio maana mnapakwa mafuta kwa kusifia watu
2024-09-29 10:24:56
2
geofreyjohn14
GEOFREY JOHN :
issa kawa mkali
2024-09-30 19:44:51
10
raheemkzannythiago
Raheem :
dotto kwenye era anababaika
2024-10-07 05:24:50
2
freddy_mavazi
freddy_mavazi :
nliwai hesabu hela kama issa nkazidisha bado nyingine zkadondoka 😂😂😂
2024-11-18 09:06:22
5
tile_die26
mboka outfit :
dotto lizika na maokoto utasapot kishamb😂😂😂
2024-09-30 17:43:00
2
kinkhan548
#Kin khan# :
Doto huruma nyingi kinoma, big up
2024-11-18 07:38:42
2
kalyboykaliua
kalianja Kasolo :
vizur doto umefanya utu agawe kwakila mtu
2024-11-16 04:18:59
1
ndudaboe
Nduda-boe :
Unampaje hela tajiri 😂
2025-04-12 09:09:40
1
kingjoseph6777
King Joseph :
kwenye maokoto mkari kapewa kaaza maneno pesa shikamoo😂😂😂😂
2024-11-26 11:36:06
1
chibujuniordadyma
chibujunior :
hapo roho imemuuma huyo
2024-09-28 11:04:33
4
eco7991
Eco7991 :
unampaje hela tajiri😂😂😂😂
2024-10-21 20:07:27
2
frankwilly18
frankwilly :
huyu jamaa napenda anavyo esabu pesa yupo chapu
2024-11-12 18:11:30
1
arasteja
ARAS TEJA :
apo kwenye mambo ya pididi uko 😂
2024-10-14 03:28:21
1
mgandamango
𝔹𝕦𝕤𝕙𝕄𝕒𝕟 :
nauza uchawi Kwa bei nafuu
2024-10-05 10:14:46
1
To see more videos from user @erastojohn47, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About