@chekeshatv: #Mpoki #ugandatiktok #comedyvideo #foryou #fyp #Mamaima

Chekesha Tv
Chekesha Tv
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 02 October 2024 09:46:03 GMT
122939
4129
74
144

Music

Download

Comments

jovin.lyimo
Jovin Lyimo :
mpaka cent 😂😂😂😂😅😅😅
2024-10-03 15:24:25
1
mzeet96
Notification :
Huyo mwamba mwenye ndevu na shati la draft kama Dalali kweli 😂😂😂😂😂😂
2024-10-14 14:12:55
11
ali.madai
Ali Madai :
mmetisha nyote kila mtu amecheza kwa ukamilifu
2024-10-04 05:35:04
7
chazhyera
chazhyera :
uyo jamaaa mwenye shati ya draft kasimama vzur sana
2024-10-15 10:31:26
6
ninalewismugesi
ninalewismugesi :
Maneno ana jua kama dalali kweli 🤣🤣🤣
2024-10-02 15:25:12
5
daudmussa8
daudmussa260 :
Ivi kwanini MADALALI maarufu Uvaaga Mashati MAKUBWA MAKUBWA na Simu wanakua nazo TATU zote laini Mbili Mbili ee Moja Tachi zingine 2 VISWASWADU ..🤣😂
2024-10-21 07:58:21
3
ivan03111995
T rex :
maneno kauwa sana et mabati naenda kufugia njiwa😂😂😂😂
2024-10-12 07:11:16
2
salumnachimango
salumnachimango :
kwa muonekano hapa m1 Dalari kweli hapa
2024-10-30 18:08:01
3
binabass100
binabass(r.a) :
ndevu kauwa na kwako nina 3
2024-10-19 05:43:07
3
mekant1
Mekant Used Items✅ :
Shati la Durafuti ni Mm kabsa Wakati nimemaliza Chuo Nyie 😁😂🙌
2024-10-18 11:46:19
3
iddi.malifedha
Iddi Malifedha :
ila mpoki eti hem Anza kuzihamisha kabisa 😂😂😂 account Ile Ile na jina lile lile
2024-10-27 06:17:26
2
jafaryrashid
jafaryrashid :
maneno kaua kabisa
2024-12-28 10:16:31
1
abdoulmkali
abdoulmkali :
Huyu Hausiki 😁😁😁😁😁
2024-11-18 10:27:58
1
eaglepower_og
Eagle power :
huyo jamaa mwenye shat la draft nadhani mbali na kuigiza ni dalali asee😂😂😂😂yan anapatia kinoma
2024-11-17 08:24:25
1
user359769601074
jey :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Na vunja saa8 toa vyombo nje😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
2024-11-15 13:23:21
1
user92660270607218
katundudullah :
Rohombaya
2024-10-29 05:50:45
1
user922557671759
mchucha@ :
hii kali
2024-10-19 07:41:22
1
dalaliswaigobambezibeach
dalaliswaigobambezibeach :
nimecheka mbavu sna
2024-10-18 20:46:29
1
abizobrown
abizo brown :
Ila madalali wanaish maisha magum nyie😁
2024-10-17 11:28:31
1
swalehtole
Mr Simple :
mpoki kiboko yao...😂😂😂😂😂
2024-10-06 22:40:09
1
To see more videos from user @chekeshatv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About