😭😭😭😭nimepata maumivu sana nawaza lokole na babu iddy wanajisikiaje kupoteza sehemu ya family Yao ala awape wepesi wate waliofiwa sisi na wamwenyezi mungu na kwake tutarejea R.I.P DIDA
2024-10-05 08:20:56
8
Susu Reha :
😢😭yauma jamani eeh mungu tusamehe waja wako tunakukosea sana ila usitichoke😢👏
2024-10-05 06:47:42
7
mack :
ila waandish wana moyo unawezaj kum record mwenzio analia na ww umekaza ty utikis hata kamer jmn 😭
2024-10-05 05:13:14
9
sheillahghulam :
INNA LEILAH WAINA ELEHI RAJOON
2024-10-05 05:47:59
5
Gift Mhando mpemba :
nikweli au kama kawaida yao
2024-10-05 04:56:23
3
mammy :
rest in peace dida 😭😭
2024-10-05 07:43:33
2
Bozēn-dēk :
tusiwe na haraka kila mtu atakufa kwa mdah wake na siku yke
2024-10-05 05:13:53
2
nahida :
poleni sana wa tz nyote mungu awape subra wakati huu wa huzuni mungu ampe khauli thabiti inshallah
2024-10-05 05:10:24
3
Tasneem Mdathir :
inalillah wainah rajun
2024-10-05 06:33:30
2
mrs_muuu :
innah lillah wainnah illayh raj'un ulale salama didah shaibu 😭😭😭😭 allah atupe mwisho mwema inshaallah mbele yetu nyuma yako😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
2024-10-05 08:39:09
2
chunaa ❤️wa❤️ mamangu ❤️ :
leo nisiku yakulia kwenye mitandao ..huko Instagram ndio kwahuzunisha kabisa...Allah ampe makao mema in Sha Allah 🥺🥺🥺💔💔💔
2024-10-05 08:54:55
1
Its_iddah🌹 :
Inaumiza jamni😭
2024-10-05 05:24:21
1
Miss cherry 😘💕 :
Poleni Familia🙏
2024-10-05 08:47:04
1
Tahil Casty :
nn chaajabu sasa 😁😁
2024-10-05 09:01:32
0
The God'sown :
aliumwaa
2024-10-05 05:03:30
1
MRS SELEMANI :
ALLAH atupe SUBRA Pia ampe kauli sabithi marehemu wetu 😭😭😭nikwel kifo niaula ila mazowea ndio tabuuu😭😭😭
2024-10-05 05:01:25
0
shamsizo uronu :
inalillah wainalillah rajuhun
2024-10-05 05:20:16
1
Smile girl💞🫂🦋 :
Allah ampunguzie adhabu za kabri inshallah😭😭😭😭😭
2024-10-05 05:12:39
12
maliam donady good fo me :
musiba upo sehemu gani jaman
2024-10-05 09:01:54
0
user19136927637940 :
wanalia wakimzika wanaanza kuposti wanakunywa bia na vicheko
2024-10-05 09:50:18
0
Kim_nana_glory :
daaah!!😭😭😭😭
2024-10-05 09:12:05
0
esterprince :
poleni sana jamn 😭😭😭😭
2024-10-05 09:44:00
0
wastarahasumbuki :
😭😭😭innah lillahi wainnah illeihi rajiun
2024-10-05 09:04:33
0
PRIANCA BEAUTY SALON ✅ :
Dah! Nyie kifo kipo wallah,
2024-10-05 05:16:05
0
To see more videos from user @wasafi_media, please go to the Tikwm
homepage.