@saif_llah.6: Anaye kupenda kwa dhati, huwa anatokea mara moja katika kipindi chako chote cha maisha. Ukimuacha na ukampata mwingine, kwa mara ya pili, hizo ni dua zako zilizoibadili kudura. Jifunze kutunza ulichonacho, mkipendana kwa dhati, mkamuogopa Mola wenu na mkajikinga na uasherati kwa kuhurumiana, kila jema linalohitajika katika maisha yenu huwa analiongoza Allah na likakufikieni japo kwa kuchelewa. #Love#islam#life
HASWAYATUL HURAM
Region: TZ
Sunday 06 October 2024 16:54:57 GMT
Music
Download
Comments
Jamil :
only my
2024-10-09 05:49:20
1
🌹Mom Zushamaa🌹 :
Alikuwa mama angu nae ameniacha 😭😭😭😭
nimebakiwa na wanangu tuu inshaallah Allah nikuzie watt wangu na wawe watt wema aaamina yaarabbal alamiina
2024-10-07 17:49:18
15
Maalim Hussein Nuhu Ismail :
kweli
2024-10-07 12:39:11
1
Alishy💫❤️ :
shukria yababa🥰😂
2024-10-08 17:01:30
2
Sabaha :
Sina zaidi ya mama Angu🥰🥰😭
2024-10-07 16:08:31
2
user981320380270 :
subhannallah
2024-10-08 15:15:18
1
Alhamdulillah 😍 :
wako wapi 😂😂😂😂tuna majubwaa🤣
2024-10-07 15:57:58
1
N.AA.A. :
💯 Sahih
2024-10-06 20:38:24
1
user8613756182103 :
shukrani
2024-12-24 02:48:49
0
khayrun Nahar :
mashaallah
2024-12-04 17:36:52
0
user1044111280581 :
SHUKURAN YAA RABBI ❤️❤️❤️❤️
2024-11-26 06:35:53
0
wujidone younus :
صح ولله
2024-11-23 20:05:04
0
ninziza agape :
Subhannallah
2024-11-08 08:46:55
0
shuaiib :
sahihi kweli
2024-10-23 08:00:53
0
Saumu designer :
follow me
2024-11-20 05:22:28
0
Mi Amor ❣️ :
@feyfat❤️
2024-10-15 08:50:29
1
Mohamed Abdalla Ahmed Damnanmu :
👍👍👍👍👍👍👍👍
2024-10-12 07:24:45
1
MR. PROMISE💔 :
😭😭😭
2024-10-11 07:19:10
1
user4424598870599 :
😳
2024-10-09 08:58:45
1
khalidmarrash4 :
🥰🥰🥰
2024-10-08 23:04:47
1
Neyba :
❤❤❤
2024-10-07 20:05:14
1
saidi :
😂😂😂😂😂
2024-10-07 10:00:25
1
kindnessfatma :
❤️❤️❤️❤️❤️❤️🤲
2024-10-07 06:24:43
1
Hmoud al busaidi :
♥️♥️♥️♥️♥️
2024-10-07 00:39:44
1
To see more videos from user @saif_llah.6, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2025 TikWM. All rights reserved.