@hassanramzy27: #sikiliza_upate_faida #reminder #sheikh_Abdallah_Humeid #حفظه_الله #mombasa001 #سلفي #سوني #اريض #manhaj_nnubuwa #manhajsalaf #mimi_ni_salafi #masjid_aisha #mombasa001 #masjid_khufely #NYALI #mombasa #kenya #saudiarabia #tanzania #uganda #burundi #count001 #uae #usa #dubai #qatar #kuwait #bahrain #bi'daa

حسان رمضان
حسان رمضان
Open In TikTok:
Region: SA
Tuesday 08 October 2024 19:34:20 GMT
18733
989
76
138

Music

Download

Comments

said.juma68
Truth is bitter :
Maswahaba wapi wa kuwafuata ambao wengi wengi wao walikengeuka baada ya kufa Mtume na wengi wao wataingia motoni
2024-10-09 02:57:08
0
hassanbambe7
hassyboi :
MASUFI NI BAHARI WW CHIZI HATUKAY NAUCHAFU UKIMUONA MTU KAJA KWENU NIKILICHO TOKA BAHARIN UCHAFU KUTOKA BICHI HATA WW NI UCHAFU WA BAHARI ULITO WAP
2024-10-11 06:38:15
2
user5578608319680pemba
user5578608319680Al-bimany :
tofautisha maisha yetu na ya kwako utajua tu nani anafadhiliwa na kuja kuugawa umma mmoja hata sifa zile za mtume kuziiga huna
2024-10-11 03:36:28
0
jamalo.jamilo
PROFESSOR👔 😊 :
Masufi ni sahibul batni wal farj
2025-11-25 19:26:10
0
zaheedmohammed1
Zaheed. :
nyie mbwaaa wa motoni
2024-10-29 14:56:16
0
ronaldinho101010
user :
kuna wandawazimu kma nyinyi hamujioni
2024-10-09 14:49:23
0
mutaelewa.tu
MUTAELEWATU :
tutaendelea we kwendaa bana
2024-10-29 06:58:06
0
user6818759865976
DRC YASARNA :
Kwanzaa wewe usisumbua watu
2024-11-27 04:21:32
1
husseinmambi
hussein :
Nikweli
2024-12-17 13:29:55
0
hassani_gmail.com
Abuu Ridhwan :
Swadaqtah
2024-10-20 06:09:24
1
user5700816210800
user5700816210800 :
mwenda azimu nwewe usokuwa nailimu
2024-11-01 12:42:17
0
binmajid.17
binmajid.17 :
HAO MNAWAITA MAKHURAFI MBONA WALIKUEPO MIAKA NA MIAKA NA WALITWALA MPAKA DUNIA NA HAKUNA YEYOTE ATAKEWEZA KUJA KUFANYA WALOYAFANYA MASUFI WATUTUKEY KUTWALA DUNIA NAZINGUMZA WALA MM SIO SUFI
2024-10-18 19:47:21
0
user3152565665403
ust Yunus buliba :
watoto wa najid mlisha tabiliwa na mtume kuwa ni watu waftina
2024-12-15 06:05:51
0
safari.nisafari7
AbuuSuhaib :
Je leo juma mosi masalafy wamefunga? au wanakwenda kinyume na dola ya kisalafy tauhid ya Saudia? Au wanakuwa makhawarij wanaasi dola zingine?
2025-03-01 04:46:06
0
user6619601901586
princess of dark :
subhaan llaah waone wanavotukan dini yet
2024-12-14 21:22:36
0
user5578608319680pemba
user5578608319680Al-bimany :
kumbuka mtume waislamu walikua wanatak kuoigana mtume akafanyaje baina ya makundi mawili sasa leo unaugawa umma kisha unajiita kundi la haki wahabi
2024-10-11 03:37:52
0
user5578608319680pemba
user5578608319680Al-bimany :
pili kwani weye si umesema bora zinaaaaaa kuliko maulid weye tangaza zinaaa sisi tuachie maulid yetu si unao wafuasi wako anzisha tu mziki ulio bora
2024-10-11 03:31:35
1
hassanbambe7
hassyboi :
CHUKI HUMCHOMA ALIYO HIFATHI MOYONI KAGENGE KADOGO KAWAHUNI WENYE CHUKI MAWAHABIYA UTAUMIA SANA SASA HARUFU ZA MUOZOO ZANUKA MIDOMON MWENU MAWAHABIY
2024-10-11 06:34:20
0
user5578608319680pemba
user5578608319680Al-bimany :
Kwanza kabla ya kundi lako halijaja watu walikua wanasali sunna na wanafunga sunna na wanafanya yote ya sunna na faradhi sio swahaba wa kiwabi umeleta
2024-10-11 03:30:06
0
user5578608319680pemba
user5578608319680Al-bimany :
kisha mbona audio zako ushawaingiza wengine wwngi motoni maibadhi na makhuraf wengi tu mpaka wabeba vyandarua unawaita sasa sijui tena wataka nini
2024-10-11 03:33:25
0
anisax100
Um jannat :
Allah awaongoze na wao wajue na ss Allah azidi kutuogoza
2026-08-09 05:19:25
0
rajabukoba
rajabukoba :
kuna muda nawasikiliza awa jamaa mpka kuna neno linakuja hekima ndo waoicho nyimwa
2025-01-05 13:10:45
0
user5578608319680pemba
user5578608319680Al-bimany :
hatutakuelewa kwa sababu sisi ni wafuasi wa mtume na weye ni mfuasi wa nchi zinazokulipa mshahara ukanunua magari ya kifahari
2024-10-11 03:35:09
0
bint.al_hamidy
bint.al_hamidy :
wewe ni kuombewa tu hakuna lingune
2024-10-18 04:35:51
0
ramadhanikileo575
Ramadhani Kileo :
hiv madhahabu gan ipo sahihi mnaudhofisha uslamu kikubwa kila mtu afuate nguzo za uislam tu
2024-10-09 10:52:33
0
To see more videos from user @hassanramzy27, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About