@mgasa_tv: Ukioa mwanamke wa hivi utaimba wimbo mpya kabla Yesu hajarudi - Pr. Kenani Mwasomola

Mgasa Tv
Mgasa Tv
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 09 October 2024 09:52:04 GMT
339413
12741
416
1149

Music

Download

Comments

lucasitinde
itinde :
wasabatho tujuane hapa,
2024-10-09 13:41:43
129
brain_music
Brain_music :
wanaume wenye akili tu ndio tutaelewa apa
2024-10-09 16:11:07
118
petermasanda9
Mr Peter :
ukweli kabisa..mwanamke sio wa kujipamba..bali awe msafi..mwili na roho yake
2024-10-09 10:55:37
24
official_mtiamoyo1
Official Mtia Moyo :
huo ndio msimamo wangu 🔥😔
2024-10-09 17:40:02
42
babilonadid
1223643246788#wap.com :
mawigi marasta matatoo marangi mabrichi yale yote sio sehemu ya Mapenzi ya Mungu 😭
2024-10-09 09:59:31
20
edmondsang
Edmond :
nyakati hivi za mwisho, wengi hawapendi kuambiwa ukweli.
2024-10-10 14:01:28
9
dcgitaa
Gitaa :
Unaoa asiye na rangi wala rasta unakuta kana roho mbaya au kahuni
2024-10-10 06:47:53
30
user406659074168
gadafi :
🤣🤣🤣 hiyo maiki ilipowekwa
2024-10-09 19:34:32
7
linahchamy6
linahchamy6 :
Mm ni msabato lakn mabinti wakisabato ni wachafu mnooooo na hawapak izo rang issye tabia mzee rangi sio tabia wanaficha uovu waoo kansan saf wanaongoza kutoa ad mimba na mnajua wachungaj
2024-10-21 04:00:12
15
mtupa44
MTP FASHION DESIGNER :
ukipiga hisabu mwisho wa mwaka pesa ya kiwanja.
2024-10-09 14:04:15
5
kokugonzarobby1
Koku :
huyu si Ndo yule alisema kuamini ni nini? ni hivyo 🤣🤣🤣
2024-10-09 18:44:13
9
chazymbwambo
30 :
mzee tuliza komwe hizi sio zile zama zenu
2024-10-12 09:19:19
9
noone_9892
msemaji wa wanaume duniani :
wakwenu wakikua wa kale, tuache na wanawake wetu wa sasa zama zinabadikika. huwezi kutumia kibatari na umeme sahivi upo.
2024-10-10 05:28:15
4
maishamapya123
spread the love :
mafundisho hayo kwa wapoteao ni upuuzi bali wanaokwenda mbinguni ni nguvu za Mungu. ukisikia wanasema vaa vaa ndo utasikia watu huyu baba namuelewaga
2024-12-13 12:11:39
2
happynessdonald12
Happyness Donald126 :
Acha nilaze marangi yangu ja marasta hapa kesho nayo siku😂😂😂
2024-10-09 18:13:19
5
davidgalinomacalister
Hehe girl :
hakuna alieona hiyo maik imeka wpi kweliiii?? 😅😅
2024-10-10 06:05:18
7
vivanaminja
vivana :
we baba unajua hao unaoongea nao wote hakuna anayekusikia unasema nn
2024-12-19 16:37:53
1
user8294418295304
Abel Adam :
sasa mbn Yesu akija atakosolewa na huyu mchungaji!
2025-02-15 18:14:27
1
edithansiima267
MTETEZI WA MSALABA :
na misuti na mitai yenu ya kijerumani hiya, mikoti us Freemason kuhukumu tu
2024-10-09 20:13:38
5
nyoniempire1
NYONI MOBILE TECH :
injili kavu imenyooka
2024-10-09 23:18:59
3
dainamokaijage
PASTA PASKO⛪⛪ :
waaaaambieeeee
2024-11-17 09:49:33
1
user8608660380766
user8608660380766 :
ili ndio kanisa la kusali sasa
2024-10-10 04:46:05
3
user7400251529145
neyzachakaria :
amen mungu kwanza mengine badae
2024-10-09 21:27:21
4
mary_mart_shop
MARY-MART-SHOP :
Wasqbato Wamejikita kuangalia kwa Nje. Kuna Mzee wa Kanisa la Kisabato hapa Dar amezaa na Mdada ninayemjua. Na mpaka Leo hajawahi kusema kwenye Kanisa lake kuwa ana mtoto wa Nje ya ndoa.
2024-11-11 10:26:27
1
edmondsang
Edmond :
nyakati ni mbaya kweli
2024-10-10 14:04:11
2
To see more videos from user @mgasa_tv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About