@nickshabokajr: KUMSALITI MWENZI WAKO NI KITU KIBAYA SANA. TAZAMA VIDEO HII KWA MAKINI, UPATE UJUMBE MZITO KUTOKA KWA COUNSELLOR. -Apostle Nick Shaboka Jr #madhabahuyamoto🔥🔥 #neemajuuyaneema #0755311004

Dr. Nick Shaboka Jr
Dr. Nick Shaboka Jr
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 09 October 2024 10:23:49 GMT
219803
6205
251
2884

Music

Download

Comments

eliasarwechungura
♡ :
Mi napenda mahubiri ya mkeo
2024-10-09 18:32:57
7
grace.aman.31
Grace aman 31 :
Nilitamani kufa nikaona duniani niko peke yangu hasila nyingi juu yake lakini nilijipa mda sasa niko sawa namshukul mungu ninaamani nafanya mambo yangu bila kumuwaza au kumfikilia mambo ni 🔥🔥🔥🔥🔥
2024-10-10 16:46:54
10
nurudin_7991
Nurudin_7991 :
fact
2026-06-23 06:06:21
0
nabil.salim42
Nabil Salim :
yan nimeumizwa mpk nataman kila mtu nimwambie
2024-10-26 19:29:12
6
sjay455
sjay455 :
m nawashangaa mnaolialia na mapenzi nyie hamjui hao n jogoo et unataka uwe peke yako hahaa asnye mungu hlo pepo la kulialia limetoka kwangu nimebaki kuwaza maendeleo t
2024-10-11 10:35:47
0
rehema.mammy
re❤️he❤️ma❤️ mammy ❤️🇶🇦🇰🇪 :
😭😭😭😭😭same to me
2024-10-09 18:57:07
5
asia_.mahendo
asia_.mahendo :
true bro 💯💔💔
2024-10-09 18:29:25
2
miss_pasion
miss_pasion :
Hii kitu inatusumbua wengi mtu unahic kma unakufa ndani kwa ndani kuna muda unatamani ufanye nini cjui kuondoa kila maumivu moyoni ili uwe huru lkn unashindwa kabisa sidhani kama uponyaji kwenye hilo
2024-10-15 19:12:15
3
rachel.samwel
Rachel Samwel :
Yan nikikusikiaga napata unafuu barikiwa sana
2024-10-10 17:03:40
2
ibrahim.othuman
Ibrahim Othuman :
Kweli baba Mimi napitia io chagamoto nateseka Sana
2024-10-09 19:20:16
2
mbulayabili
mbula Yabili :
pole sana
2025-01-03 09:00:43
1
kilalabusinesssolutions
@kilalaBusinessSolutions :
Hii ikitokea,huwezi kuwa sawa Tena,never.kabla hujafanya usaliti fikilia matokea yake.
2024-10-13 11:00:15
1
dianarichadi17
diana richarad :
samhn kaka Niko nje yamada ivi kufanya mpenzi kila siku kunamazara kiafia au kunashida yoyote kufanya katika ndoa lakin sio nje
2024-11-14 10:42:46
1
pendosalvatoryminja
pendo minja :
mambo aya sikia kwa watu yasikukute😭😭😭😭😭
2024-12-30 08:56:53
1
user88067787732378
Leila mum :
kweli kabisa
2024-10-09 11:15:28
0
solangerechol
Solange rechol :
umeongea kweli kabisa ubarikiwe 🥺🥺
2024-11-05 06:21:09
1
azy_abba
Azy_abba :
Yanii nilivyoona video hii nimekumbuka alivyonisaliti now nalia kma mbwa hapa maumiv yamerud tena jamaniji
2025-01-02 18:25:10
2
brayo.machen
Brayo Machen :
hivi wanaume wanaojua maumivu ya mwenzake na yakamuumiza pia wapo??????
2024-10-13 08:27:17
0
christinamwakaseg
christinamwakaseg :
Tunawaombea watumishi wa Mungu tunawapenda Sana tunatamani mueendelee
2026-02-25 05:21:25
0
user7917998317851
G,M :
ukweli kabisa
2025-01-06 05:58:45
0
izonesu750
Izone Safia mwamba :
Kweli kabisa
2026-06-06 11:00:18
0
wakalamsomi0
Wakalamsomi :
Ukweli kabisaaa
2026-07-31 04:18:08
0
official.msphiby
GIRLFRIEND 🎀 :
Mafahal wawili hawakai zizimoja 🥺
2026-06-30 19:41:40
0
safiaomar243
Safia Omar :
ahsant san kwa ujumb
2025-01-06 19:00:04
0
miss.wema86
CUTE WEMA 😘😘 :
nakupeda Pastor wangu ,hakika MUNGU akutunze
2024-10-09 12:25:15
0
To see more videos from user @nickshabokajr, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About