hi rose can you help me here niko kwa afrointroductions app nimepata mutu amenitumia ujumbe since juzi so tufanyaje ndio nisome ujumbe
2024-11-21 10:55:29
5
Joyline :
mimi nilipata mwenye hajalipia siri ni kutuma number nusu nusu bora awe mtu anashikanisha haraka
2024-11-21 18:18:35
13
cpherose :
ann naweza kupata mtu kweli nmekaa apo sana, nlikua nmepata mtu last year lakini akawa anatu date wasichana wawili ikabidi napia alikua mkora, nikaachana nayeye....je ntafanyaje sasa
2025-07-02 07:07:55
1
Anitah Rey owuor :
sikulipa any of the apps and now have wazungu wewe mtu asiwai pay be smart follow guidelines
2024-11-27 11:52:28
8
Gary Vee Private :
on that dating site how will someone know our status
2025-01-07 15:06:43
0
Zuhu sweet snack's 😋 :
nimeweza mom nimepata mmoja tumebadishana namba
2024-11-03 06:47:33
5
cuteface :
Asante dada Rose nimepata wangu mpole na ananisikiliza sana🙏🥰
2025-08-20 01:15:52
3
Halima Huseni :
kweli sio ngumu nashukuru nimeanza kupata like nyingi kutoka kwao barikiwa mnoo
2024-10-19 09:47:59
8
baker johnstone :
Wow🥰🥰🥰
2025-11-26 19:52:33
1
@pretty_kishan :
utajua aje wenye wamelipa
2024-10-30 07:05:14
0
Aneth ❣️ :
mimi ni kiziwi dada naomba nieleweshe kwa maandishi pls how do i use afro for free? siskii unachozungumza sorry lkn
2024-11-18 07:25:50
3
user7993597601758 :
wameniambia profile yangu imefungwa
2025-05-04 08:11:24
0
patricia rashid :
mi nimepata like nyingi na nimetumiwa txt nying ila hazifunguki mpaka nilipie na hata hao watu naona picha kwa mbali kama kivuli
2025-08-31 14:35:26
1
Bella Adaki :
hello sister na kama mtu ako saudi Arabia na anaitaji mtu but niko huku kikazi tu
2025-03-12 06:09:07
0
lovegirl 💟 :
nlisharegester Na sioni chats🤣🤣
2026-02-17 19:41:26
1
official Rose❣️ :
ahsante wajina mi mwenyewe naitwa rose nimefanikisha iyo ahsante nishapata marafiki wengi wa kizungu😂😂🙏🙏❤️❤️
2025-02-22 06:45:52
1
Ms dollyinana :
Dada rose afrointroductions kwangu inagoma kufunguka nilifungua mwanzo saivi kila nikiingia wanasema no internet nifanyeje?
2025-03-07 12:54:55
3
Obeja Mussa :
sasa Dada kuona hao walio na hizo rangi ni wapi mbona naona wana rangi ya grey
2024-11-30 14:01:51
0
🌺 🌺 flower girl :
good information there 👍 soo many wamepata huku ❤️
2025-07-08 15:30:48
3
nory princess 👸 :
Mungu akutunze shoaga angu nilikua sijui namna ya,kuitumia lkn baada ya kuweza tu nimetext wa2 mmoja kanipenda and a the end of november anakuja Far as salaam
🥰 Mungu akupe moyo huo huo