😂😂😂huyu akisema sio kwa ubaya ujue asema vya ukwel ila ndo ivo tena sio kwa ubaya
2024-10-11 10:21:01
217
Mkuya Hardware :
yani mpka kamaliza kuongea cjajua mwisho wahii stori ilimaanisha nini
2024-10-11 10:40:10
56
kijosi :
lamata anaendeleza hilo mara ma mc wachekeshaji...tutavuna tunachopanda
2024-10-11 08:46:47
27
$ :
subiri niweke ndimu
2024-10-11 09:17:30
22
Gee💕 :
Ongea haraka haraka ninahasira😒
2024-10-11 15:30:41
1
Joskhaephine Khahola :
Sanaa unachosema ni kweli
2024-10-17 20:27:04
2
lucy roby :
😂😂😂😂😂😂kumbukumbu zimerudi nawazaa mm akinikumbukaaa kila kitu hadharan😂😂😂💕💕
2024-10-11 16:44:07
0
frusohoka :
king Kong
2024-12-31 21:21:15
0
rahma semindu12 :
🤣🤣🤣🤣🤣jmn amkeni kunajambo
2024-10-11 21:14:25
0
Saada UAE :
kaanza vizuri kuongea ila mwisho kaharibu😂😂😂
2024-10-11 18:32:16
1
hasnat :
mkimsikiliza vzr ana point kubwa ukiwa na muonekan mzr bac ukikutana na wenye muv zao lazima akutoe awaingii kwny muv wenye vipaj CK iz ni uzur wko tu
2024-10-13 18:38:05
1
dotto machimu :
😂😂😂
2024-10-11 13:02:54
1
GINNA :
😁😁😁😁😁😁😁😁
2024-10-11 08:32:50
1
saramura :
🥰🥰
2024-10-16 05:51:22
0
Turf media house :
❤️❤️❤
2025-11-03 07:43:43
0
Baby Ishah@ :
🥰
2025-10-05 20:05:56
0
tayson :
😂😂😂😂
2024-10-12 18:41:35
0
Kaka GI 255 :
MIMI NDO MSUKUMA WA KWANZA KUWA MJANJA😂😂😂
2024-10-11 15:35:18
0
Meja :
PUNGUZO LA NUSU BEI
USIKOSE KUFANYA KAZI NA MEJA SIGNS MSIMU HUU WA KITONGA🙏🙏🙏
2024-10-11 21:06:09
0
Tee_outfit :
chid anapenda talent ya mtu ifanye kazi kiuhalisia 🤩
2024-10-11 08:18:45
123
stara :
chid,gig na tid mama mmoja baba mmoja tumbo mbalimbali
2024-10-12 17:05:37
60
NICKJIDA :
aloooo KAKA AKE NA GIGY😂
2024-10-12 05:07:08
30
Ummy Brown 💃🥰 ❤️ :
Benz na Gigi usijichanganye nao kabisaa😂😂😂😂litakukuta jambo🤭🤭🤭
2024-10-11 08:29:41
22
Nje_hri :
I like him wallahi. "Wanakubali geina King Kong"!
2024-10-11 18:48:32
12
Crispin Martin :
mwanamke kuw tajiri ata havinogi sas tajiri gani anapata mimba🤔😆
mi nawazaga ujinga tuu enewei mnifolo basi😋
2024-10-11 11:11:27
11
Erick_Msafi :
very very serious
2024-10-11 12:19:56
10
adejohan The BI :
ila nyie huyu chid ni mtu msimchukulie poa
2024-10-11 16:38:30
9
sekela Anthony :
Nakukubali sana
2024-10-11 10:40:14
8
Billionaire :
huyu Madawa hayajaisha kichwani ....bado akili bado dish lina cheza sometimes
2024-10-11 12:12:31
7
Melanin 🧚♀️ :
alieelewa anieleweshe kabisa😂
2024-10-11 14:22:22
7
Vero Vero :
na kweli uwoya hawezi kuigiza
2024-10-11 13:25:46
6
houseboy :
anajuaa
2024-10-11 08:27:11
6
✨Nassam✨ :
kwakifupi watu wengi Huwa wanaingizwa kwenye fani ambazo sio zao, hawana taaluma nazo ila wanaingizwa tu kwasabb ya matamanio ya watu fulan..🖤
2024-10-14 12:05:06
6
CFE Stellah Haule :
Niko veery veeery serious🙂
2024-10-11 18:39:56
6
user4257812582452 :
napenda anakua real sana☺️
2024-10-11 08:51:30
5
laurreta :
Yaani ameongea ukweli kabisaa that’s how Wame built bongo movie 🤦🏽♀️kuna kipindi ilikuwa km Huna tako hawa ku cast Ndio maana watu ni wale wale hiyo bongo movie na kulalana wenyewe kwa wenyewe
2024-10-11 17:34:49
5
Mohiny 2💕🥀💕........ :
mbona wanaendana na giving jmni😅😅 si waowane
2024-10-11 13:05:40
5
Dorcas collection 💕🔥💯 :
Genius
2024-10-11 11:23:51
5
jenester kalikawe :
yaani huyu nilikuwa napenda nyimbo zake lakin sijui nani alimroga sasa hiv aeleweki
2024-10-11 13:16:08
5
madolali magari nafuu🌍🌎🪐 :
follow me plz 😭😭
2024-10-11 12:43:50
4
Sær🌸🫧 :
kufanya movies
2024-10-11 13:33:20
4
ⓘⓐⓜ ⓟⓡⓔⓒⓘⓞⓤⓢ💎 :
irene njoo ukuuu umefikiwa na ww
2024-10-11 11:39:59
4
Jacque-Chinga-official-outfits :
daah
2024-10-11 10:14:09
4
Zay Chocolate🍫 :
😂😂😂😂 vigezo hn 🤭
2024-10-11 08:00:22
4
Moses Tibenda :
Uwoya ana kipaji cha kuimba.
2024-10-17 04:53:38
3
sweet_Chii🧿♟ :
😂😂Kujishebeduaaa i like that pozz😂
2024-10-11 09:34:49
3
chamte_cakes_point :
My chiddy😂 I'm clean 😂🥰
2024-10-11 08:41:16
3
Dopabel :
mimi kanumba alinifata niigize nilikataa mpaka mzee jengua nilikataa nahisi kwakuwa ni mzuri sana na tako zuri na shepu nzuri ila sikupenda kuigiza
2024-10-12 00:13:08
2
@wana mdami :
Kakaake gigy🤣🤣 ba mmoja ma mmoja
2024-10-11 15:12:39
2
Angafren Munuo :
kama huna D 2 huwez kumwelewa
2024-10-11 14:33:34
2
Dingi Hamso :
mzee anakunywa methadone
2024-10-11 16:29:46
2
BRAVOO :
😂😂😂😂😂sio kwa ubaya
2024-10-11 14:17:54
2
dalalizanzibar :
Ili kumuelewa huyu vizuri na ujue ana akili timamu, inatakiwa utulize Kijambio chako
2024-10-11 17:22:04
2
mageti fitness club :
bonge moja la zhow
2024-10-11 18:13:40
2
Rebeka Beauty Collection :
kipini sasa😁
2024-10-11 14:06:30
2
mommyenzo23 :
Veri veri sirias
2024-10-11 20:50:46
2
fbi the deejay :
Kama manyanya wa Kicheche
2024-10-11 10:59:59
2
Billionaire :
Savage 😅
2024-10-11 08:05:40
2
Dida Ally :
mpk uwe na d mbili utaelew anaongea point but utulize akili ndio utamuelewa huyu jamaa napenda sana intrvw zake.
2024-10-11 13:42:57
2
YasmineA964 :
Cool bro
2024-10-11 10:53:56
2
Allen Mdulla :
...good, clean, smart and real G...
2024-10-11 08:35:51
2
HB Tz💪💪 :
welcome America.
2024-10-11 11:25:17
2
Mido :
fact✌️
2024-10-16 20:03:13
2
josera :
the story inakaa ukweli kabisa 🤣😂
2024-10-17 19:57:20
2
babyfashe🦋 :
Nimeangalia hii clip nikasikia harfu ya bang😂😂
2024-10-16 21:33:38
2
To see more videos from user @myreplyshow, please go to the Tikwm
homepage.