@khairat777: *Congratulation Hon capt Ruweida.* Ni miaka mingi sana watu wa *Ashuwei na miji migine ya barani iliyosambaratika kwa sababu ya dhulma ya mashifta na serikali* wamekuwa wana ndoto siku moja watarudi katika miji yao na waishi kwa amani kama watu wengine. Viongozi kadha wakadha wamewahi kuwa katika nafasi alionayo *hon Capt Ruweida* lakini hatukuona juhudi zao zakuwaregesha watu makwao. Taifa lakibajuni limedhalilika katika miji ya watu, utambulishi wakibajuni, utajiri waliokuwa nao na mpaka uongozi wao umetwaliwa na wasiokuwa wabajuni. Hongera muheshimiwa Ruweida Once again!!