@binsalimmazrui: Karibun sana mujipatie bajaji za rangi zote kwa bei nafuu kabisa tupo kkoo mtaa wa swahil na msimbaz (NMA 100%) utu kwanz pesa baadae. #fypシ゚viral #explore #tanzania🇹🇿

Bin salim mazrui
Bin salim mazrui
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 12 October 2024 12:42:09 GMT
45376
368
81
71

Music

Download

Comments

mfarijitunzombwam
mbwambo mt tunzo :
bajaji shingap
2026-07-05 16:26:49
1
user7277177263626
chameman :
7ml siwezi pata chombo pamoja na usajili kweli
2025-08-16 18:19:54
0
user75314033321612
Saidi Abdalah :
injini ya tvs Iko beigani saivi
2026-06-03 08:20:05
0
kalitusdeuc
DEUC :
bei shingap boss
2024-10-29 13:18:47
0
jodan.cosmas
Jodan Cosmas :
nitumie namba yako
2026-02-16 06:08:53
0
halidihd1
Halidi Hd :
nataka namba zenu nipat kufika ap
2025-02-07 23:36:16
0
waupendo8
waupendo :
bos bajaji imesmama ngapi saiv
2026-01-07 23:48:42
0
nibronibu842
Heavenboy :
je siwezi pata kwa mkopo baiss
2026-03-24 15:27:43
0
siraji255
Mr Kaburu_Og :
Habari naomba kujua bei ya Bajaji kwa sasa pamoja na usajili na Bima
2025-08-13 18:12:59
1
toriento
ISAIAH TORIENTO :
hzo ni mpya au
2025-08-20 19:42:07
0
sweet.pozi
k-d :
lakini Kuna maongezi kama nataka kununua
2025-11-09 05:30:02
0
wakorinto123
AQIZER :
shingapi jmn
2025-07-11 18:14:42
0
user5496639897268
Ally Bui :
TVS mnauzaje mkuu naomba na namba zako pia
2025-08-26 11:33:48
0
mjomba72
Mjomba :
bajaji Aina za Piaggio jee zipo? na ni bei gani?
2025-07-26 05:50:13
0
jumamgaya0
juma11 :
D namba naweza kupata kwa nne
2025-01-23 13:17:56
0
_mr.dachi
dee phd🇹🇿🇿🇦 :
mna bajaji za kuchaji na ziuzwa sh ngapi
2025-02-21 20:42:10
0
user9605423616331
emason the boy :
naomba uniambie bei ya bajaji mpya nabei yake na unambie mnapatikana wap?
2025-03-01 19:02:06
0
dickiii04
mtakatifu Dickisoni :
amkopeshi
2025-03-05 20:00:53
0
challes823
challes :
nitumie namba biss
2026-03-20 09:42:07
0
shadhilirashidy
garilink :
bajaji za ges mnazo pia
2026-04-19 07:53:25
0
______hk4
hk__Nuuman :
mpo wp
2026-05-04 16:22:42
0
abuuazyzah
Abuuazyzah :
habar,je hakuna huduma ya kuwekeza kwa muda flani baada ya hapo mtu anachukua bajaj yake
2026-08-18 11:25:41
0
user324385830653
chaulaTZ :
oy
2026-08-06 16:44:44
0
user5218491065905
user5218491065905 :
hamkopeshi?
2026-06-16 08:51:32
0
peternsokolo
Peter Nsokolo :
bei gan tvs
2024-12-20 11:58:32
0
To see more videos from user @binsalimmazrui, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About