@asagwile: BABA ASAGWILE FT WALTER CHILAMBO AVAILABLE ON ALL DIGITAL PLATFORM ZOTE #tiktoktanzania🇹🇿 #tiktokkenya🇰🇪 #congolaise🇨🇩 #canada_life🇨🇦 #southafricatiktok🇿🇦 #nakupendababa❤️ #goviral #fy

Asagwile
Asagwile
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 12 October 2024 14:50:01 GMT
278526
20656
497
1690

Music

Download

Comments

glorianatasha254
Glõw Ria 🦋 :
may God keep my man for me☺️☺️i love you so much 😭😭😭 alinioa na mtoto mmoja hes taking good of us na alinunulia mama yangu shamba na akamjengea..
2024-10-12 16:50:03
75
lulumd3
lulumd🦋 :
Baba wa mbinguni labda
2024-10-12 18:47:35
41
lydia29431
lydia :
labda baba yangu na babu zake wa zaman sio hawa
2024-10-12 17:56:59
22
annagmapessa
user5881701302522 :
baba hawahawa wasuotunza watoto wao au?
2024-10-12 16:54:31
8
mtanganyika67
ME'YOU :
kweli toka zamani nikama sasa kwa kitambo kidogo nilimsamehe na kumpenda japo nilikosa pendo lake
2024-10-12 20:01:58
10
30526143syl0
Masco :
lemme dedicate this to my bro ,he is going through a lot 🫂
2024-10-13 08:51:57
21
kingjully20
Kingjully.prop. :
wanaopinga kwani hiyo verse ya sio kila mwanaume anaweza kua baba hawaisikii
2024-10-15 20:41:49
7
rose680778
Rozella🌹💖✨ :
kwa babangu mzazi nakuombea maisha marefu🙏🤲 kwa bwanangu mpendwa nakupenda sana mume wangu♥️♥️♥️
2024-10-13 01:53:33
17
christabellmapund
Bella :
Baba yangu aishi sana wakati nasoma nilikuwa namchukulia mshahara wake Bomani halafu najigawia Baba alikuwa hasemi kitu Mungu amtunze Nampenda sana 🥰
2024-10-13 02:58:29
16
danio.boblee
Papa Danio de Butcher :
Nakupenda sana daddy.May de Almighty protect you for me
2024-10-13 07:27:15
7
santalucia201
santalucia :
Wawuu🙏🙏🙏ukweli
2024-10-12 16:48:48
6
jestina9724
Jestina :
Baba yangu nakupenda Mungu aendelee kumlinda🥰😇
2024-10-15 21:24:03
7
ashawaiddi5
Ashawaiddi😘 :
wababa wanaojituma mmefikiwa
2024-10-14 04:09:50
7
dont.worry5518
Don't worry :
Mungu akubariki sana,Kakayee kwa kututia moyo wababa wenye peya moja,tujuane hapa
2024-10-16 06:15:43
11
atustephen3
atu❤️ :
baba angu nmpenda sana 🥰
2024-10-13 06:47:57
6
evancemrosso03
C.E.O Official :
Tisha Sanaa Kak....Heshima Kwa Baba💯🫡👊🏿.Tunapambana Ila Utasikia Nan Kama Mama🤣
2024-10-13 08:20:39
9
nestorbab
babu :
Weye njoo musanii wakwanza kujuwa kama baba niwamuhimu Sana kwenye Familia, tunateseka moyoni Ila hatukumbukwi hata kwenye nyimbo Mungu akubariki bro
2024-10-13 09:46:33
8
lie.nzuzi
Élie NZUZI :
Force à toi
2024-10-13 21:04:25
5
uzeir254
Luqman :
may u rest in paradise dad.the only true friend I had.miss u dad
2024-10-13 18:28:41
6
tr.chemining
Tr Chemining🌹 :
Kwa babangu mpendwa always in my mind, continue resting in peace 🕊️🕊️
2024-10-13 17:48:30
11
kioko465
kioko :
congratulations, wazani mahali mpo tumechoka mkiimpia wanawake pekee tupadili mstari
2024-10-14 04:18:51
5
bwanashambanguli
Bwanashamba :
Zamu Yetu Imefika Tunashukuru
2024-10-12 22:12:58
5
judyogaro
judy ogaro :
I have the best papa in the world🥰🥰🥰..nakupenda daddie
2024-10-13 20:58:24
5
luveya3
John. :
Respect to all father's..... it's not easy.....
2024-10-13 07:34:36
7
jaspylydie
jaspylydie :
Kaka Yangu gusa commentaires yangu.barikiwa Sana Sana.namupenda Sana babayangu 👏🙏 kutoka 🇨🇩
2024-10-12 16:16:38
5
To see more videos from user @asagwile, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About