@kaliman_electric: SUKARI ANAFANYA REVIEW YA SMART SWITCH LEO

KaLiMaN electric
KaLiMaN electric
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 12 October 2024 15:44:26 GMT
435864
8407
117
292

Music

Download

Comments

sward_12
Saman :
wale wanaosema simu ikizima chaji itakuwaje tutafute hela sana 🤣🤣🤣
2024-10-13 06:35:23
42
mchali45
user4888340716203 :
kwahiyo ikatokea simu imezima chaji mana yake mnalala giza hiyo siku?🤣😅😂😆😂🤣
2024-10-12 21:50:45
17
zejuchaz
ZEJU :
Ukiibiwa simu
2024-10-13 17:01:21
2
modricosmetics
modriCosmetic :
kama sim haina charge inakuaje
2025-05-16 12:22:32
1
jonajona4321
Jonathan :
Maswala ya code hayo unaweza uwe arusha ukawasha tar dar
2024-11-08 09:48:29
2
jom3009
Mr. JOM :
Kuna operations unaweza pia ukawasha pasipo kutumia simu
2024-12-09 14:32:07
1
magembelimbu
magembe limbu :
je simu ikiibiwa mh au nitafute kwanza hela
2024-12-14 11:48:28
2
user481122186331
TURU CLASS :
ninzuri zinaaina mbil za kuwashia kwa njia ya swichi na kukonecti na cm cm kama imezima unatmia swich
2024-10-13 03:35:29
1
simonmayabi
simon :
Ni mimi nilikuwa nazima kwa switch sio simu
2024-10-31 14:02:23
1
chinastriplighting
Blake Goodman :
你好厉害
2025-01-10 02:31:39
1
beccal3
B🦋 :
😂😂😂Ukipoteza cm Alf ndo umezimaaa utajuta😂😂😂😂
2024-10-13 08:11:27
1
christinaotineli
Christina Otineli :
cm ukiibiwa tena utawashia na nini kamq usafir wetu🤣🤣🤣🤣🤣
2024-10-13 03:55:56
2
joshua.massawe34
JOSHUA MASSAWE$🦁 :
ukiibiwa sm utafanyaje
2024-11-10 10:50:18
1
mr8sg
Time will tell :
bei gani and mawasiliano
2025-09-20 11:45:35
1
irenewilliam429
willy recious :
ukipita mbagala,cm wakakusaidia kubeba io siku kulala gizaa
2024-10-13 17:39:43
2
frankmbilinyi23
frankmbilinyi4 :
hizo switch za kuwashia cm zinauzwaje
2025-10-20 18:21:47
1
eddie_x26
Edwin J Michael :
simu ikiisha chaji
2024-10-13 18:06:09
1
ummuzunairah
lozzy kitchen 🥗 🥘🍔 :
😂🤣🤣🤣jmn
2024-10-12 18:22:38
0
kamaah01
🥷 :
hio simu kwani haidisplay screen ama ni mm niko mavitu ?
2024-11-23 19:31:40
0
hadija.juma244
Hadija Juma :
duh
2025-07-29 16:30:36
0
hassanmchujuko
kituko tz :
ngoja we simu yao wavhukuwe utaelewa
2024-12-26 21:06:37
0
mussaally007
mussa :
ndugu nahitaji hichi kifaa chakuzima taa na kuwasha kwakutumia sim
2024-12-28 19:38:09
0
jay_keskangwess
KESKA :
mbona naskia sauti kama ya Steve Mweusi ivi🤣
2025-02-07 06:28:38
0
abdulmbwana88
Abdul :
huu ushambaa😂
2024-10-12 20:18:59
0
To see more videos from user @kaliman_electric, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About