@dullahmihuri: #kulawao #diamond #zuchu #zanzibar #kenyantiktok🇰🇪 #goviral #trending #tanzania #fyp #foryou #mombasatiktokers #dullahmihuri

dullahmihuri
dullahmihuri
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 14 October 2024 06:09:40 GMT
235860
7569
267
2080

Music

Download

Comments

abu.ahmadh2
Abu ahmadh :
haya ni mafunzo ya iblis
2024-10-14 12:27:53
21
abdallah.salim39
Abdallah Salim :
kula wao ndio 2peleke moto au vp
2024-10-14 12:01:16
6
bibiswaum
Bibi swaum :
upuuzi mtupu
2024-10-14 08:35:59
5
ajaay39
Marl Ajay :
huyu shekhe ni wa kenya anatoka lamu anaitwa Alzudin hapa alikuwa anasema kama hao wake wameachwa yani wamepewa talaka unaeza waoa kisheria ya uislamu
2024-10-15 12:33:34
12
kiriguri.mdogo.pe
Kiriguri Mdogo Peter :
hii nayo elimu gani ndio maana siwezi silimu ni makosa makubwa sana hio ndio sinaa iloyo dhahili
2024-12-01 11:36:37
0
kabueolesempele
Moses-kabue sempele :
huyo pedi hakufanya poa 😂😂😂😂mpaka sheikh 😂😂😂😂hazishuki bana
2024-10-15 14:57:25
5
user9934510605476
Barnabas (BJ) :
Ukosawa ata bibilia inakubali hiyo
2024-10-14 09:35:42
5
kingburetta
King Buretta 🤴 :
nguruwe pia msiache hii dini imekuwa ya kipuuzi sana
2024-10-15 16:55:09
1
sham_gil_b
شميم :
tufahamishi sijaelewa maanake ni nini
2024-10-14 19:03:36
5
mduddu96
Bila Nauli :
Dini niushubwada mtupu mlitupanga kitambo siSasa, ndomana Dini kaleta binadam Simungu
2024-10-15 10:40:46
3
adyouni
adyouni :
usilopoke usicho kijua unapata zambi
2024-10-15 11:45:59
2
user2911158365173
user2911158365173 :
shk. hiyo hio lugha unayo tumia si ya kiheshima bali ungesema unaweza kuwaowa hiyo lugha unayo tumia ni ya ki maskani na wewe ni shk. hio si lugha nzuri
2024-11-18 14:38:37
2
202020daros
daros.derehe :
kiswahili amu fahamu😂si kutombana kula wao
2024-10-14 12:15:29
9
yuskahajj
yuska hajj :
shida ya kenya hawaelewe kiswahili ya tanzania shkh haongeye juu ya chenye yenye umefikiria jamani
2024-10-14 17:22:50
2
ahmadbadaw007
Ahmad Badawy :
Kama hujafahamu inamaanisha hao waliotajwa wakiwa wataachwa na umeona ni warembo sana kwako kama wataka kuwaoa waweza kuwaowa ndio hio kulawao
2024-10-14 18:03:55
1
chita_mnyama1
chita :
msengewewe
2024-10-14 23:26:09
1
user9563067314358
.... :
msitafsiri vibaya,anamaanisha walioachwa,ni halali kuoa
2025-01-07 19:09:02
1
rahimamselem
rahimamselem :
wee.huogopi🤣🤣🤣
2024-10-14 16:39:28
1
mamaaaaa172
M,,,,⚘️⚘️⚘️⚘️ :
uyu chizi
2024-10-15 11:49:39
2
victormiheso09
victor :
wacha niwakule 😂😂😂
2024-10-15 06:44:02
2
kakule8707
jonase kakule :
waislam vichwa vyenyu vimearibika kabisa
2024-10-14 11:56:55
2
kabunga_tv
KABUNGA TV :
Naogopa kuchangia maana sijamuelewa naomba aliye muelewa vema anisaidie tafadhali
2024-10-19 09:54:22
2
kanchwalez
kanchwalez :
aliekta hii clip ndio afnya makosa Sheria yakuruhusu kuwaowa ikiwa wameachika ama wamefiliwa sio kula wao kuzini nao
2024-10-15 07:51:32
1
cushite_official1
cushite_official1 :
shekhe mbona sikuelewi shehe 😂😂😂
2024-10-15 12:24:56
2
suleivubg51
waziri 254 :
kukula aje
2024-10-14 15:12:24
1
To see more videos from user @dullahmihuri, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About