@lenzi.michaelkamukulu: CODE na KANUNI ZA MAISHA: Dunia ina kanuni zake – ukizikosea, unabaki kuwa shabiki wa wanaoelewa mchezo. Jifunze kujua kanuni za mafanikio kwenye maisha ya kila siku, jifunze kubadilika. #mindset #tanzaniatiktok #motivation #swahilitiktok #viral_video