@wizer_tv: Kwa taarifa ilio tufikia muda huu ni kwamba mama aliye fahamika kwa jina la Jeane kashindi afariki Dunia kwa ajali ya gari Leo majira ya saa kumi na mbili ya hasubuhi huko pande za Des Moines Iowa,marehemu alipata ajali hiyo wakati akiwa na henda kazini WIZER TV tuna toa pole za dhati kwa ndugu jamaa na marafiki Written by Mr big name wizer
wizer tv
Region: US
Wednesday 16 October 2024 20:59:22 GMT
Music
Download
Comments
Alice Juma :
Pole😭😭😭😭
2024-10-18 12:48:57
0
Harriet Ezra :
poleni
2024-10-17 11:13:35
0
georgette436 :
poleni sana
2024-10-16 23:19:01
0
ETO DUNIA :
Poleni sana ndugu jamaa na marafiki
2024-10-17 07:20:09
0
𝐌𝐰𝐚𝐧𝐚.𝐂𝐚𝐦𝐩.𝐀𝐝𝐨𝐥𝐟 :
Mungu wangu🤦🏿♂️😭😭😭
2024-10-16 21:37:33
1
Khadija Bint Shabani :
poleni saaana kwa kweli
2024-11-01 07:29:28
0
kwibe ahadi :
jamani pole
2024-10-30 07:21:10
0
Shakazoolu :
ujinga kweli yani unaenda kitafuta mboga porini marekani? kwanini asiende supermarket? ujinga utawamaliza
2024-10-18 20:52:27
0
Margerite :
mbona wa bembetu watu wataisha uko😭😭😭😭
2024-10-18 12:29:32
0
Silola Msebengi :
pole sana
2024-10-18 04:33:33
0
user3760813191875 :
poleni sana wapendwa
2024-10-17 21:04:49
0
Congo princess ♥️ :
poleni so sad jamani
2024-10-17 20:33:50
0
oliveebengela :
Poleni sana😭
2024-10-17 18:46:40
0
Riziki 🇨🇩 :
Mimi sijaelewa 🙏alikuwa naenda kupori kutafuta mboga haje🙄🙄 Pumzika kwa amani mama yetu 😭😭
2024-10-17 18:39:19
0
esperencegilbert :
poleni sana
2024-10-17 13:05:09
0
Salum Norbert :
pole sana kwa familia
2024-10-17 09:30:46
0
NURU JOSEPHINE :
poleni sana kweli ndugu zangu
2024-10-17 06:01:58
0
mwajumaneema557 :
Pole sana
2024-10-17 03:28:07
0
mulikisubi :
Poleni sana kwa msiba ndugu zangu
2024-10-17 02:43:29
0
Georgia :
poleni sana
2024-10-17 02:26:01
0
Melissa :
Pole sana😭😭😭
2024-10-17 02:18:22
0
Mwajuma Mulindwa :
mungu ailaze roho yake mahali pema peponi
2024-10-17 01:14:49
0
Safi Aimerance :
😭😭
2024-10-16 21:04:38
1
POGBA :
😳😳😳
2024-10-27 01:15:08
0
sofiaekyochi 🙏 :
😭😭😭😭
2024-10-18 12:00:52
0
To see more videos from user @wizer_tv, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2025 TikWM. All rights reserved.