@official_breezyo1: Wazanzibari mna fungu lenu kwa mungu😂😂🙌🏽 #tiktoktanzania #tiktokzanzibar🇹🇿🇹🇿 #tiktokkenya🇰🇪

officialbreezy
officialbreezy
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 20 October 2024 20:16:41 GMT
635498
24649
877
6252

Music

Download

Comments

swi2307
𝑚𝑟𝑠..🧚‍♀️🎀 :
kuna mtu akaanza kujaribu😅😅😅
2024-10-21 05:59:00
37
0_rn.9
rayyan💕 :
Hii inaitwa aibu mtaona nyie 😂😂
2026-06-22 22:08:00
2
medinho24
MEDINHO Mikato classic 👖👕 :
uvivu wa kuuza pweza
2024-10-21 04:15:42
31
chioma48897
chioma❤️ :
kute huyu nae ana wake wanne sa maisha yanamchanganya
2024-10-22 07:53:33
10
hawasalim2403
hawasirleem :
mpemba huyu 😂😂😂 ndio wanatab kma zote
2024-10-22 12:57:42
1
rahiim2021
Binsayyid Al-sulaiman :
Chizi anachekesha akiwa hatoki kwenye familiya yako
2024-10-21 06:15:07
24
abuuhaji1
Abuu Haji605 :
uusikute anaswali swala 5 huyu mzeee😁😂😂😂
2024-10-21 11:09:27
7
ominhostar97
Ominho_Star :
🤣🤣🤣 Dalalii
2024-10-21 10:19:21
1
user5567303105336
Dalali mtoto :
brooo sabufa unauzaje izo apo nje
2024-10-20 22:01:18
32
255_254
어머니 사미아와 아버지 므위니에 대한 신앙 :
Kila mtu na starehe yake 😁 hiyo ndio Zanzibar
2024-10-21 00:51:54
5
0.brain25
Unknown :
😂😂😂😂 sio vzr kumuanika babangu mitandaon
2024-12-28 09:45:14
1
bintijabiri90l0
binti jabiri 🥰🤗☺️♥️ :
Mm niwakumbushe tu siku ikifika musiniwekee pamba puani nina tatizo la kupumua😳
2024-10-23 04:28:54
2
kichina255
kichina255 :
😂😂ila hyu Anco Nyie alikuwa ananisumbua San town maeneo y kiponda 😂khaaaa
2024-10-24 16:26:04
2
zei_xoo
zeinab :
Me everytime my man pisses me off 😂😂
2024-10-24 20:19:01
6
wizmayle
mkushi :
kumanyoko😂😂😂 nimejarib mishipa ya shingo imekaza
2024-10-23 15:36:20
6
mishahass471
mishahass471 :
mandandari ya shingo yanachezaa🤣
2024-10-23 07:29:28
2
salehmasud509
Saleh Masud :
wazimu asa😁😁😁😁😁😁
2024-12-16 12:35:20
1
hansmagaa
hans💋💣 :
ah nilijaribu kidgo shingo ikatike
2024-10-31 11:55:53
2
matikopastory
mjukuu wa matiko :
baba yupo kaziniii
2024-10-23 16:36:52
3
abuucench23
Abuucench23 :
unajua nacheka kwa nini😅
2024-10-25 19:25:07
1
ablamamu
Khayra 001♥️🦋 :
😂😂😂😂 Muacheni baba yangu
2024-10-21 01:42:35
4
kingkidd81
_' _KING KIDD👑💦 :
nan aliyo angalia nae akafanya hivyo🤣🤣
2024-10-23 18:30:01
2
myakyusawanzovwe
Mnyakyusa_Wa_Nzovwe :
ILA PIANO😂
2024-10-23 08:44:44
2
antonykadala
Babu Tale :
ase kwa tulio jaribu tukashindea like hapa
2024-10-23 08:21:14
2
tasidodo1
Black panther 🐅 :
The music ata the 😂. Eti. WAZANZIBAR NAWAPENDA WAZINZAR 🎼🎼🎼😂😂😂
2024-10-22 04:23:48
3
To see more videos from user @official_breezyo1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About