@avopatips: Hekima za mzee… #avopatip #tiktoktanzania🇹🇿 #titkok #maarifa #elimu #tiktok#capcut #viral_video

Avopa tips
Avopa tips
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 21 October 2024 10:10:50 GMT
1750230
76424
935
8494

Music

Download

Comments

kingmafido
kingmafido :
😂hapo kweny kula tutasameheana jamani 🤣😂
2024-10-21 14:46:43
77
abosco58
ABosco :
Kulala sana kuongea sana na kula sana ni maadui wa maendeleo ya kiroho na kimwili. Umeongea mambo mazuri sana
2024-10-22 09:18:20
61
jofrey_graphics
MORVA (jofrey) :
sas tukiamka mapema tunapaswa kwenda wap
2025-06-26 17:54:44
10
mc.zinc
mc zinc :
sasa tunaamka kwenda wapi babu 😅
2024-11-13 08:46:32
5
stardephizo28
Şťãř ďę pħĩžø28🍁🎶🎧 :
Dear God hapa kw usingizi have mercy on me 🤣💔🙌
2025-04-27 07:30:53
4
jiwa.pori
jiwa pori :
ya nwisho umeferi mzee wagu
2024-10-21 14:43:13
12
kidesh065
KIDESH DELIVERY SERVICES.. :
Hapo kwa kula nayo toka kabixa🤣🤣🤣
2024-10-23 16:26:38
8
user561036061786
user561036061786 :
kwenye kula mze acha kutufokea
2024-10-28 17:00:58
3
ramlammuru
🍂 :
nikifikiria naskiliza hii video uku nimell 😂naishiwa nguvu😌
2025-04-11 06:35:31
2
waxonnnnnnnn
joze :
fact...
2026-01-11 10:10:41
1
mzee.wa.maokoto80
Mzee wa maokoto :
nimekusikia mzee wangu mpaka nimeseve hii video nisiipoteze
2024-10-22 20:33:32
13
amizentos.amia
Amizentos Amia🫧 :
Ukila Sana Utashiba Na Wadhifu Wa Kushiba N Kitanda so Unakuwa Mvivu wakuenda mahali
2024-10-23 03:32:02
8
ramboy999rd
Ramadhan Michael :
kulala nalala na nakula dunia tunaish mala moja hivyo vitu nispovtumia leo unadhan wap nitavtumia unatafta hela everyday unasahau had kuish mwsho
2024-11-16 17:18:09
5
heri_egbart
Heri_Egbart :
Tuanze kukesha😂😂😂
2024-10-23 03:54:20
5
mamag718
mamag718 :
Hili kweli tatizo kubwa
2025-06-27 18:29:00
2
sammy0703185743
JUNIOR SAM :
umesahau pombe na wanawake hao ndio wametuweza🤣🤣🤣
2024-11-20 08:48:38
3
oumartanakulahass
OMMY BUSINESS.POUVOIR :
kwenye kula mzee
2025-11-27 18:36:14
1
eyurbabzngoja
Eyur Babz Ngota :
AMINAA
2024-12-01 08:02:55
2
dr_nzigo
Dr.Nzigo :
Hebu tufafanulie vizuri hapo kwenye kula, Tuepuke kula sana au kula vyakula vya gharama kubwa?!
2024-12-07 20:01:45
3
trisyclajohn
Trisycla John :
kulala sana kunaleta uvivu bhana
2024-10-29 10:42:49
2
musonda.joseph1
musonda joseph :
kabisa
2024-11-02 23:19:36
1
user6388135670746shuaib
shuaiib :
kweli kbx
2024-10-24 11:40:37
2
dr.thomashealthcare
Costa :
Ubarikiwe Sana Baba
2024-10-29 06:16:59
2
angelpeter844
Angelbby🥰 :
an mtu afanye kazi sana af asile sana alooo
2024-10-28 18:24:18
2
user3056858740063
Denis ndamukiza :
yote Ni sawa ila nikifikiliaga kifo kwamba nitakufa niviache naishiwaga nguvu mbwa mimi pumbafu zangu😂😂😂😂😂😂😂😂😂
2024-11-18 14:33:27
2
To see more videos from user @avopatips, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About