@coachansey: Fanya hivi ili Kuilinda Account yako... 1. Weka OFF Open in External Browser Hii itakulinda dhidi ya link zinazotumwa DM kwako. 2. Weka ON 2-Factor Authentication ili kuongeza layer nyingine ya Ulinzi kwenye account yako. Kwa kufanya hivi unapunguza nafasi ya Account yako kuibiwa au Kudukuliwa. Umeelewa? #coachansey #biashara #tanzania #kueditvideo #kutumiacapcut #tanzania🇹🇿