@muftijunior3: Replying to @pmkenya17 #muftijunior3 #kenya #fypシ #tanzania #swahilitiktok #kenyantiktok #fypシ゚viral #foryourpage #muslimtiktok #foryou #christiantiktok #fty #deenoverdunya #fypageシ

Omar Abdullahi✨
Omar Abdullahi✨
Open In TikTok:
Region: KE
Tuesday 22 October 2024 09:18:05 GMT
54697
1159
77
99

Music

Download

Comments

elummarina
mabes :
His project is confused
2024-12-16 10:57:54
0
user7081957951444
wamoturi :
wonderful
2024-12-03 08:40:30
0
alknassir
A-Y :
huyu jama nikama anataka kurudi kwa uislam ila viongozi wamfate kwa njia ya ukarimu.
2024-10-23 18:26:37
5
user47465204679248
YASSIN :
🥰🥰 We ni mwamba Allah akufaamishe
2024-10-23 14:51:02
6
akyoomzeewamjini
akyoo mzee wa mjini :
huyu jamaa choko kwel ni wap uliskia mchungaji akimwita muhamad ni shetani acha uongo wako
2024-10-28 09:59:40
1
user5295310223717
user5295310223717 :
Mimi nimtu wakwanza kukuchukia kwasababu haueleweki,wewe nimnafiki upo kwenye ukhristo lakini roho Yako ipo kwenye uislamu
2024-10-23 14:06:24
2
user2280309559699
user2280309559699 :
Wew ni mshirikina umejuaje kama waislam wanakuchukia.
2024-10-28 17:04:06
0
rashidiramadhani706
chidy boy tz :
anae kuchukia wewe nimpumbavu wewe unasema ukweli mtupu mungu akupe maisha marefu
2024-12-08 14:03:18
3
husseinmakoa5
hussein makoa :
kaka ata kama wakikuchukia usjar maana unacho kifundisha nicha kwer uisram na ukristo zote nidinitu irimradi tufiketu sarama kwamungu
2024-11-21 08:01:11
3
mnyama2930
mr duuh :
Zanzibar tunakupenda sana unaongea ukwel nakupenda sanaaa mashallah
2024-11-17 10:20:21
3
ramadhanmgalle
Ramadhan Mgalle :
Allah akunusuru ufe ikhari mwislam
2024-12-16 22:07:55
1
mnyama2930
mr duuh :
Ww uwe mwislam ue mkristo nakupenda sana unaongea sahihi
2024-11-17 10:22:36
2
fahimamohammed09
fahimamohammed922 :
Mnafiki huyu njaa inamsumbua tu.
2024-11-30 21:01:51
1
fils_byb
saïdi ulumba :
Fanya kazi ya Mwenyezi Mungu usijali mutu
2024-11-01 05:26:18
1
eliusjj
ellyjully :
namwelewa sana huyu jamaa ✅
2024-10-29 18:25:55
1
marijani550
marijani :
broo mbon tunakusapot endelea kusema ukweli
2024-10-28 06:34:10
1
user3198081254566
user3198081254566 :
Mimi mwislam nakupenda
2025-01-09 12:33:56
0
ramathaniabdallah
Ramathani Abdallah :
upossahihi
2024-12-30 09:29:55
0
user3476185781936
user3476185781936 :
tatizo nimoja mnajuwa islam au ukristo binatoka wapi izozote ni dini za wa colonisateur tuko yetu dini ba afrique
2024-12-30 06:47:02
0
hakizimana.mussa
ECD RICH MADJENGO :
mimi nakupenda
2024-12-27 15:51:24
0
To see more videos from user @muftijunior3, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About