@foodloverstz: Wapenzi, Recipe hii hapa tumepata na tunatamba nayooo 🥳🥳🥳. Nimeipenda na kuipenda tena. ✔ pastes na spices mnavipata kwa @efra_foods @efra_foods anatuma popote ulipo. ✔ Vyombo nlivyotumia mnavipata @vyombo_centre @vyombo_centre , anatuma kwa uaminifu mikoani kote. Kupata maelezo zaidi juu ya Cooking class au kujiunga wasiliana nasi kupitia 0717-717836 Whatsapp.
foodlovers.tz
Region: TZ
Wednesday 23 October 2024 09:41:25 GMT
Music
Download
Comments
cutest girl :
yummy 😋 😋
2024-11-12 11:40:08
0
mum ummy :
so yummy 😋 😍
2024-10-23 16:28:36
0
Prisca John328 :
yummy yummy 🥰
2024-12-19 14:38:45
0
geemoomuu@😜 :
mi naomba ya halfcake
2024-10-24 22:53:59
0
niniofficial1 :
Looks yummy
2024-10-23 10:12:10
0
Hortense :
super 👍👍👍
2024-10-23 11:04:53
0
natalyadesuspect0 :
yaan napenda mapishi yako na uwa nayafanyia kazi na ulijuaj leo kuniwekee hii naenda pika maini😋😋 nakupenda bule
2024-10-23 09:48:00
14
Doreen samwely mbise :
kamboga kazur kakumpkia mume wangu cku nikiolewa 🤣🤣🤣
2024-11-09 07:01:23
2
Nivah kitchen collection :
cream ya maziwa ndo maziwa mtindi/yaliyoganda au ni tofaut
2024-10-23 13:12:29
3
Hika Point :
Hatimae nimejua leo paprika ni nini 😊
2024-10-23 15:36:00
2
user1263440784379 :
safi sana
2024-10-29 09:22:38
1
Neema Koka :
Unatoa maelekezo mazuri sanaaa;upoo vizuri
2024-10-24 12:55:25
1
Emmy cute :
yaan recipe ya sambusa imeisubiri had nahc kukataa tamaa 🙎🏼♀️😒
2024-10-23 14:21:59
1
mumg32 :
Napenda sana mafunzo yako leo nmepika maini kwa kukufwatilia ❤️❤️❤️
2024-10-23 13:03:38
1
Annie :
Bora nishapata namna ya kumpikia mume wangu mtarajiwa😊
2024-12-18 17:08:58
0
Aneth Tesha :
viungo tunavipatavwap
2024-12-14 12:14:39
0
rosenjoka1 :
Yani mm Nampenda huyu dada 😘❤️
2024-12-10 18:20:18
0
Amina Issa :
hili pishi ngoj leo nimpikie mume wangu
2024-12-10 13:38:32
0
Nancy Apple805 :
Dada viungo kama ivyo unauza pia ?
2024-12-05 13:01:33
0
mamtamuddah :
samahani ayo mafunzo yatafanyika mtandoni naomba unijibu
2024-11-21 21:14:04
0
@bintijoseph93 :
Hivy viungo vinapatikan wap
2024-11-21 09:46:50
0
Agatha Machiro :
nahitaji hivyo viungo
2024-11-17 11:57:26
0
pamelakenedy :
jamani nikitaka kitunguu swaumu na tangawizi za efra food
2024-11-13 13:39:09
0
Subira Nkya :
dada mi nashida naviungo vyote vyamboga afu sivijuw majina navipataje mpenzi nijibu kama huyo jal
2024-11-13 12:31:50
0
daniel kweka :
pika na tambi pia please tuone za nyama
2024-11-08 12:16:14
0
To see more videos from user @foodloverstz, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2025 TikWM. All rights reserved.