@neema_nauzazihealth: #foryou #Dr Neema uzazitips #fypシ゚ #uzazikwamwanamke #healthyips #womencare #kenyantiktok🇰🇪 #marecani🇺🇸tiktook #tanzaniantiktok🇹🇿 #goviral

𝐃𝐫_𝐍𝐞𝐲_𝐮𝐳𝐚𝐳𝐢𝐭𝐢𝐩𝐬
𝐃𝐫_𝐍𝐞𝐲_𝐮𝐳𝐚𝐳𝐢𝐭𝐢𝐩𝐬
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 23 October 2024 17:46:36 GMT
37330
515
103
48

Music

Download

Comments

love476502
love :
ninywe ikiwa ya moto au naiacha inapoa kabsa
2025-03-03 09:31:03
3
user680511811812
briana :
nisaidie mimi sioni hedhi zangu
2026-02-27 06:16:17
2
whitebae01
mrs_muuu :
my unatumia ukiwa period !?
2025-03-16 20:16:34
3
reymogwi
reymogwi :
kwani kuna karafuu ya unga
2024-11-23 11:11:18
2
taurasitire
terrysitire :
kweli nataka mtoto mimi
2025-03-09 12:45:44
1
palestinaisrael84
Mr.Israel Pales :
hyo karafuu wanywa ama wanawa
2025-01-03 12:27:55
2
paskalinesulley
Paskaline Sulley :
duuuh nilitumia wakati mi,ba imeharibika nikiwa bado uchafu haujaisha we kidogo nife
2025-03-23 16:51:15
2
fettylove55
fetty :
Mimi Nimetumia nilivyo Toka p Nikaanza kutokwa Uchafu na Asaiv natokwa na damu lkn Bado Naendelea kutumia ni kawaida au
2025-09-19 07:23:43
2
mrs_najim
Naah🖤 :
dada mbona mim kila nikitumia karafuu naingia period msaad plz😢
2025-08-25 14:58:32
1
zenataashura
Zawadi :
karafu ukitumiya na ukiwa kwenye hezi inaondowa maumivu kabisa
2025-09-21 23:09:49
1
lau.qty
Lau qty :
kuitumia kwa kunywa tuu inatibu mpaka fangasi dada?
2025-04-07 07:32:57
1
walindondo6
POWERBANK :
MIMI NILIKUA NAKUNYWA ILI NITOHU JINO CHAKUSHANGAZA NNA MIMBA WAKAT NIMEANGAIKA KUTAFUTA MIMBA MIAKA 6
2025-08-23 19:56:33
1
bintibarnabas
Binti Barnabas :
habari mimi nimetumia katafuu tok 12, mpk leo unatok ute unalangik km dam ata sijui itakata lini apa nipo t sielewi n ninatamani sana mimba
2025-03-23 09:15:37
2
zulekhaalli0
Zulekha Alli :
nikiinywa kwa siku mara moja ni sawa
2025-04-16 07:52:33
2
anitaserikali1
anitaserikali1 :
Yan kusema ukweri karafuu inasaidia San nilitumia nikiwa period Yan nilivyomariza Brid nikaanza kuon uteute mweup unao vutika
2025-04-15 06:57:46
2
marthamakumi
princess martha :
na je ukitumia ukiwa huko karibu kupata periods yawwza saidia kupata mtoto
2025-04-04 08:51:10
1
fetty_toto
fetty_toto :
je natumia nikiwa nimetoka tu period au nakaa baada ya siku kadhaa
2025-07-07 19:27:22
1
annie_07143
annie_07143 :
Naweza kunywa nikiwa hedhi
2025-04-09 16:31:00
1
paskalinesulley
Paskaline Sulley :
kwa siku ngapi
2025-03-15 06:59:23
1
user6391737337324
my wawillll :
habar
2025-03-12 11:08:56
1
user441786172
Merry :
nakama umeweka shindano ya mwezi una tumia karafu
2025-06-08 14:39:34
1
user61381811862836
user61381811862836 :
manake ukiwa huzai ukiaza kunywa kalafu unabeba mimba kweli
2025-03-08 06:42:42
1
juliethmahenge
official_july :
kipenzi nataka mtoto na siku zngu sizing nilikua natumia kijiti vp karafuu itanisaidia
2025-05-14 10:06:11
1
shellinah8
worshipper shelly :
nko na swali yaan nakunywa au nanawia
2025-01-17 20:05:49
1
paskalinesulley
Paskaline Sulley :
nilichemsha siku moja nilikunywa ,mchana na usiku
2025-04-05 16:16:17
1
To see more videos from user @neema_nauzazihealth, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About