@aictchangombe_choir: Moyo iko Youtube. #moyo #moyowashukrani🙏 #cvc #aicchangombechoir #tanzania #tanzaniantiktok🇹🇿 #tanzaniatiktok #kenya #kenyantiktok🇰🇪 #kenyantiktok #congolaise🇨🇩 #kinshasa🇨🇩 #rwandatiktok🇷🇼 #uganda #burunditiktok🇧🇮 #zambiantiktok🇿🇲 #southafrica #zimbabwe #malawitiktok🇲🇼
AIC CHANG’OMBE CHOIR (CVC)
Region: TZ
Thursday 24 October 2024 13:51:29 GMT
Music
Download
Comments
Annie Mkenda_Bahati Meshack :
ameeen, mama bahati meshack yukowapiii
2024-10-29 18:47:00
3
Not Really Famous :
AIC on another level
2024-11-03 11:24:31
2
user8517505634902 :
wonderfully Mfelo,,,and aic all together
2024-11-22 20:20:40
2
Min-SelinaMangi :
My favorite song😭🙌🙌🙌🙌🙌🙌
2026-01-10 13:32:22
1
Cathy herself♥️🇹🇿 :
Mlijua kupangilia vizuri maneno katika tungo hii.ROHO MTAKATIFU HONGERA.
2024-11-01 12:16:20
7
Mom D💙 :
Wimbo unanipa faraja sana huu
2024-10-24 14:17:03
5
God’s Girl 🎀🌸🎀 :
My favorite song always 😩😩🙏
2025-09-04 11:06:18
1
dory :
Hadi ndani nausikia...mungu sikia hitaji la moyo wangu kupitia huu wimbo...barikiwen Sana CVC
2024-10-24 14:32:24
2
Marry na afya :
Hakuna siku naacha kuimba huu wimbo nikiimba lazima niingie kwenye maombi
2024-10-31 16:37:34
2
Ernest dp💫🧢 :
Cvc mnafanya kazi hakika
2024-10-24 19:47:45
2
Bless :
What is the name of the song please??
2024-11-14 11:57:09
1
TrippleJ :
Naupenda sn huu wimbo, hua unanibariki sana.
2024-10-28 12:51:55
4
Abely Joseph :
brow mfello Mungu azid kukuinua
2024-10-24 16:46:12
2
Generose :
huu wimbo unanifariji sana 🌹🌹
2024-10-24 16:50:45
2
Veronica mjendo :
waoooo jamani umeimba rohoni sana , 🙏🙏
2024-11-20 11:32:31
2
safi :
mbana kama joel lwaga?
2025-09-03 10:13:16
3
Caro the salonist :
moyo by victoria zabron 🥰🥰
2024-10-24 18:05:09
1
Junior17 :
waaaoh wat a song
2025-09-03 12:34:41
1
anethelias375 :
jina la wimbo jamani
2024-10-28 18:02:26
0
Sarah :
Amin kubwa
2024-12-03 19:39:52
1
herieth🌸🌹🦋🧸💕 :
nawakubali sana watumishi wa mungu
2024-12-24 08:37:54
1
misero :
Amena sana
2024-12-01 10:39:27
1
neckminer :
Barikiwa sana Mfero
2024-11-21 19:56:04
1
DIANA :
Mungu awabariki kwa huduma nzuri sana
2024-12-06 18:14:12
1
To see more videos from user @aictchangombe_choir, please go to the Tikwm
homepage.