Does your father know his son- in- law ni rika yake😂😂😂😂
2024-10-24 21:55:49
259
fay_mwangi :
msinipige aki lakini hiyo makeup I feel is too much
2024-10-24 21:49:15
605
Briscate Favour :
people are very funny, why should you keep dragging Ruth K kwa post haimuhusu and comparing them??
we all have exes and that doesn't mean mtu asimove on, achaneni na Ruth
2024-10-25 08:31:50
583
@Ayla.Yara :
Habari ya asubuhi bibi ya mchungaji!
2024-10-25 03:57:42
622
Ian :
kuna mtu amesema eti ni pesa za washirika 😂
2024-10-25 06:41:10
176
Mamake gift :
No matter what I still love you for free 💕
2024-10-24 19:45:42
87
🖤🖤🖤🖤 :
umeeda salon na pesa ya fungu la kumi🤣🤣🤣🤣🤣
2024-10-24 21:21:24
190
Lyn🍭 :
reading the comments its sad, adui ya mwanamke ni mwanamke kweli😏
2024-10-25 05:42:10
107
✨thrifted by_Nyaruai✨ :
mnaleta frustrations huku na mandate wababa hawana pesa💀💀
2024-10-25 06:43:54
105
Angelic girl :
leave this girl alone,she is beautiful ata nyinyi mtafute Bishop wenu,wivu inawasumbua
2024-10-25 05:30:21
162
Katoto Ka2000 :
Pesa za kanisa🤣🤣🤣🤣
2024-10-24 21:34:35
34
Mum Chemuu :
Nani ameona tangu Carol aachane na Mulamwa ameglow🤣🤣,sai angekuwa na zile dredi zake zenye z🤣🤣imechapa
2024-10-25 10:51:05
20
Riah♤V💜🦋 :
yaani nyinyi hamna kazi ya kufanya...lazima mtaje Ruth k kwa post ya caro...mkifika kwa Ruth lazima mtaje caro...Mnaboo sasa wacha watu waishi life yao bana weuh.
2024-10-25 11:42:01
26
mamake Adrian🌹 :
bora ruth ako home anamaliza matanga ya mamamkwe nyinyi shindeni huko kwa manywele🤣🤣
2024-10-25 07:31:43
14
Moh. :
Mnashinda kulinganisha wenzenu nikama nyinyi ata mnaeza leta uku replacement s zenu tuone😄😄😄kwani kila comment ni Ruth k 😏😏ambieni Sonny ako fine na hair style😳sio kutaja mwenzake uku
2024-10-25 08:01:32
24
Schneider🌹💞 :
lakini Carol I love vile uliachana na dreads.....hizi styles hukutoa supu sana
2024-10-25 05:58:44
10
vesh :
umewashinda wote kwa hii style mamaa🥰🥰🥰wenye wanaumwa wakalilie chooni😂
2024-10-25 05:19:35
8
™️ :
single mothers mko na machungu huku😂
2024-10-25 04:52:24
24
Its_Eve🦋 :
lakini Hawa watu wa kumention mtu mwingine kwa timeline ya mtu hukuwa aje 😏😏
na saa hizo madem wote sisi husuka styles tumeona watu wamesuka Bora hujaomba Msaaada 😏😏😏
2024-10-25 07:15:31
14
QUEEN DEE👑❣️🥰 :
mtu amepost nywele instead ya kumshow ako smart mnaanza kufanya comparison ya yeye na Ruth k😏
2024-10-25 07:32:20
25
shitandi@23 :
Tukatusi Ruth k kwa machozi ya uongo 🤣🤣fear okuyu Ata gachagua asionewe huruma na mtu
2024-10-24 20:37:42
20
Biggy :
ambia ribcage anirudishie sadaka 😢
2024-10-24 22:16:38
40
Grace💞🌹💐🏵 :
nani anakupanga makeup,,,,unapakwa shade si yako kabisaaa
2024-10-25 07:58:40
12
Min Atis :
Sadaka can do more 😂😂😂
2024-10-25 04:09:49
12
To see more videos from user @carrol.muthoni.90, please go to the Tikwm
homepage.