@come.lord.jesus: 2 Timotheo 3 16 Kila andiko, lenye pumzi ya Mungu, lafaa kwa mafundisho, na kwa kuwaonya watu makosa yao, na kwa kuwaongoza, na kwa kuwaadibisha katika haki; 17 ili mtu wa Mungu awe kamili, amekamilishwa apate kutenda kila tendo jema.#tiktoktz #christantopic #viral #tiktokuganda🇺🇬 #tiktokuganda🇺🇬