@uhamiaji.tz: #🇹🇿#UhamiajiUpDates #ANGALIA ONESHO LA COMBAT KARATE KWA ASKARI WAPYA WA UHAMIAJI KOZI NAMBA 03 MWAKA 2024 CHUONI KUBAGA.

Uhamiaji Tanzania
Uhamiaji Tanzania
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 25 October 2024 19:46:20 GMT
462501
5985
122
276

Music

Download

Comments

henryyokela
HB Tz💪💪 :
hivyo wanavyofanya mbona maigzo Yan ata mm bila kufanya mazoez vyote naweza fanya
2024-10-30 03:35:10
2
complex755
complex75 :
sasa hayo mafunzo kwa idara ya uhamiaji yatawasaidia nini
2024-10-29 15:28:25
8
sosabady
丂ㄖ丂卂⚓ :
hii nch kila sehem kun komando😂😂
2024-10-29 06:39:12
15
carolyne.2502
Amlyne2502❤️😇 :
Hv wakimaliza wanaenda kazni
2024-12-05 16:03:03
3
user6112568534737
plascon :
😂😂😂hapo kwenye piki piki uwongo,, wameweka gia kubwa ,, weka namba moja vuta mafuta kwa nguvu
2024-12-02 14:29:18
1
user9248012996059
bint nanyaro :
lolote linaeza likatokea, kumbuka kuna wahamiaj haramu pia
2024-11-02 10:52:08
2
stevenankeri
Advocate Steven :
jeshi sasa hv ziko kwenye matumizi ya technology nyie bado mko kwenye kuvunja matofali acheni ufala wenu
2024-11-05 10:47:39
0
user2674617236680farz
FARZY One love :
follow me
2024-12-01 06:35:02
1
baby06816
baby :
hivi uhamiaji ndio.magreshion
2025-10-23 06:59:12
0
user576721852691
issahsalum :
mwanzo nlijua SKAUTI🤣🤣🤣🤣
2024-10-31 06:48:40
1
ramseymlwati
rich arrogant :
uongo uo mbona huachii crachi
2024-10-28 18:48:58
4
nassirkipoda
@nassir 🙌 👌 :
mungu alilinde jeshi letu kwa ujumla
2025-01-09 07:36:25
1
badboytz45
Ethical cracker :
Waambie waje karimchungw waxhindane na cha ukapi 😎
2025-01-17 13:50:08
1
shuraim0772
MR A.I :
tunataka mwenye uwezo wa kuzuia bomu au risasi
2024-12-23 10:35:27
1
noeljosseph
noel joseph :
haya mafunzo kwa ajili ya kutambua watu wasio watanzania au
2024-12-02 10:55:49
1
raphxel.054
@RaphXel.,❤️🇹🇿. :
sas kam skauti tu kuna komando kwann wao wakose komandoo😁😁
2024-10-29 14:10:36
4
ebraahdarasa26
Ebraah Darasa26 :
nisaidieni na me nataka nijiunge jeshi
2024-11-03 18:42:08
1
suleiman.abdala0
Suleiman Abdala :
mzur sana kozi ijayo zamu yetu ishallah.
2024-10-26 07:09:23
1
gael.clichy1
gael clichy :
dah! hatary sana mungu nijaalie na mm niajiriwe niwe kama wao 😆😆😆😆🥳🥳
2024-10-29 07:55:55
1
emmanuelelias_9_9
🛶🛶🛶🛶 :
I love this 🤣
2024-10-29 10:17:50
1
ayoubmohamed402
Ayoub Mohamed :
safii
2025-01-08 09:45:43
0
swagala_1
Swagala Kwetu :
tumepigwa
2025-01-10 10:09:27
0
acram556
acram :
mungu awalinde
2025-01-10 09:23:21
0
beinghirry
B E I N G H I R R Y :
Tupo na ninyi adi mvunje kiuno
2025-01-09 10:02:47
0
mrs454469
Mrs ❤️ :
sasa ww raiya rogwa uige hii kitu😂😂
2024-10-26 03:46:25
0
To see more videos from user @uhamiaji.tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About