@directorbrian: Soko kuu la Mwanza ndo hili hapa sasa 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🔥🔥🔥 #tiktoktanzania🇹🇿

Director Brian 👑✨
Director Brian 👑✨
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 26 October 2024 14:11:04 GMT
334925
10323
373
449

Music

Download

Comments

selemancharlz
Seleman Charlz :
Lipo Mwanza seem gan
2024-10-26 19:13:34
11
machibyapendo
user1725451083037 :
wenye Mwanza yetu tujuane
2024-10-27 13:40:52
147
sonny_boy_tz
Jackson🦁 :
njoo muone watu wa dodoma 😂😂
2025-03-17 06:19:53
0
stutzelgold6
stuzel gold⚖️🇹🇿 :
Soko la nyanyaaa au la nn
2024-10-26 20:49:24
1
suelchambi
Suel Chambi :
Kiufupi mwanza ya skuiz ni 🔥
2024-10-26 17:32:56
73
toshhytz
official toshhytz🇹🇿🇹🇿🇹🇿 :
linapatkan sehem moja inaitwa nata kama sijakosea wakuu
2024-10-26 19:50:53
2
lindiwearmstrong
@lindiwearmstrong :
yaani kwa muda niliotoka nyumbani nikirudi lazma nipotee ama niwe natembea na mwenyeji😂😂😂😂😂
2024-10-28 08:14:21
20
shingwa_tz
S h i n g w a :
lina malizika lini?
2024-10-26 17:34:14
4
veronicaphaustine
veronicaphaustine :
limeshaanza kufanya kaz
2025-01-23 06:38:05
0
user15867861051545
aqulna :
lipo sehem gan
2024-10-26 18:21:25
2
user6623699800757
zakayo paul :
siwezi ishi bila mwanza jaman
2024-10-27 09:35:24
29
kakozbnmulenda
Kakoz Bn Mulenda :
ilo nisoko au ni mabati2 soko nidigo sana kwawafanya biashara wamwanza
2024-10-29 07:45:49
1
ramsaclassicboy
Ramsa classic boy🔪 :
wenye mwanza yetu tupoo
2024-11-02 02:43:52
8
kageboy30
KageBœ⛎ 𝘾𝙃𝙊𝙈𝘼 🎶𝙠𝙜1 :
Hilo soko mbeya linatumika mda tuu mbona
2024-10-27 08:32:09
2
frolaalfayo
@florah :
mwanza kwetu jaman pazur dah mkoa gani kama mwanza
2024-10-26 19:24:52
22
rallyprettyca2
Criashy :
Mbona me mgeni mwanza naenda masoko ya kawaida sijawahi kuliona hilo soko
2024-12-20 09:56:21
0
captain.ilocs
Captain.ilocs :
Magufuli endelea kupumzika kwa amani kaka
2024-10-26 18:26:59
35
user6155579546186
user6155579546186 :
mji mgumu kwa biashara huu...sijui uuze nn utoboe Mwanza. Mtu anafanya biashara city centre lkn analetewa chakula cha nyumbani kazini, ikifika saa 7 mchana kwenye daladala ni vikapu vya vyakula😏
2024-11-01 03:45:40
2
useranniehbee
Annieh bee :
kama nawaona wanafunzi wa pamba na zimbo jipya 😂😂😂
2024-10-27 20:33:15
2
jay.jr38
JAY jr :
aka kanyimbo siku ukikabadilisha nita umia sana
2025-01-29 11:54:34
1
user6618261795093
Amos petro :
Magufuli tumpe maua yake
2024-10-29 21:20:49
4
apple_junior255
Apple Junior490 :
siwezi pata kiwanja kwenye uwo mlima apo🤣🤣
2024-10-26 19:42:06
3
teddy.nkinda
Teddy Nkinda :
Mwanza pazuri jamani
2024-10-27 19:11:19
2
user8816584533763
primtiva :
ivi hili jengo halihaisha Bado au?
2024-11-09 09:02:20
2
user7384020010214
habby girl :
nimemis mwanza
2024-10-26 16:22:36
6
To see more videos from user @directorbrian, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About