@thundermaster001:

Producer j-ariel backup ACC
Producer j-ariel backup ACC
Open In TikTok:
Region: KE
Saturday 26 October 2024 22:21:38 GMT
580033
37392
1969
1693

Music

Download

Comments

user9296005429676
Collowizzy :
alafu anatoka hapo saa kumi na moja direct hadi kulima na ngombe 🤣🤣🤣🤣🤣
2024-10-28 17:48:21
975
justusica
justice lagoon :
Wakikuyu wanaeza dhani hawa ni wachawi 😅😅😅😆Kumbe hawajui utamu iko hapo inashinda ata mukimo
2024-10-28 19:13:08
226
carroll_auma
miss auma :
na akirudi kwa nyumba atapanda tu bed na hizo mguu.🤔
2024-10-28 17:47:33
25
254silva
SILVA💞 :
😂😂😂😂hapa ndo unatongozwa na mtu asubuhi unakuta kumbe hana jicho moja
2024-10-29 04:21:59
25
churchmade
Midusa Audi Junior :
Kwetu ukiweka panga hivyo utatii... We don't tolerate nonsense.
2024-10-28 18:17:51
10
dorinah95
Dorinah :
msidhani hatujui hawa ni wakisii😂😂😂😂 mtu asiguse comment yangu nko na cramps 😂😂😂
2024-11-16 08:52:20
14
user2865779801490
Dorine David :
this is when disco matanga was disco matanga, from hapo direct to the farm🤣🤣🤣🤣
2024-10-29 04:03:57
32
mishy_ouma
Atieno :
Mapangaleeeee😂😂😂
2024-11-17 18:34:33
5
simpl298
simpl298 manase :
alafu unapitia kwa miwa ya wenyewe unavunja 😂😂😂😂
2024-11-15 16:44:03
8
steve80th1
Mc Otty :
usiulize mbona wamevaa gumboots na hakuna mvua ,ile safari ya kurudi mtu hupita anywhere bora unaona kwenu
2024-10-29 17:40:23
137
wycliff51
Wycliff Otieno :
alafu ataenda kulala tu hivo bila kuosha ata miguu🤣🤣🤣
2024-10-28 11:39:51
52
jeffouma07
JEFF :
kwani marehemu pia aliamua kudance😂😂😂😂
2024-10-28 19:55:13
39
daliziouzdanix254
🥰🥰DALIZIOUZ😎danix254🥵🥵 :
kutoka happ upate mlango ya jikoni imefungwa na mum...feilia🤣🤣🤣
2024-11-08 20:04:58
27
www.babaogai.com
Baba ogai :
Monday ikifika mnaitwa kwa parade na deputy headteacher aty "viongozi wa disco matanga"🤣🤣🤣🤣🤣
2024-10-30 13:57:33
24
john..keter
John keter :
Aah disco matanga ilifanya nikanguka mtihani Sai ningekua loya
2024-10-29 13:42:54
58
mandelah666
man_sam🍀😉 :
alafu unajipata ni 5am ndio unakumbuka uko na exams ya Jesma na mnaanza na kiswahili paper 2😂😂😂...unaandika erros tupu😂
2024-11-03 11:57:44
18
wehuogopi
wehuogopi :
😂😂😂wa gambuts mbona hakuchanua wenzake,ye atafika akiingia kulala wengine wakitafta maji
2024-10-29 15:50:41
14
joshuaonkoba865
sokoro :
huyu ako na ceska kiunoni usicheze Na yeye akirudi nyumbani 😂😂😂
2024-10-29 11:03:46
27
kenaolo
kenaolo :
😂😂😂 so does it mean kila mtu Ako na panga kwa longi 🤔
2024-10-31 08:12:57
8
achuchususan
It's Achuchu 💙🩸 :
coolkid hawezi elewa panga n ya Nini Kwa disco matanga 🤣🤣🤣🤣🤣
2024-11-01 08:49:13
5
deqhashi1
Mandela Nell :
panga ni ya nini mzee😂
2024-10-29 12:45:16
82
esto_baha
Wuod Adhis😊 :
Anayo ashajipin na obadho (panga) kwa kiuno😂😂 Apo unaskia tu akisema "Omera an ing'eni okabii sayii"😂😂😂💔
2024-11-01 18:16:01
5
tonnie_magari
Tonnie :
Back in the days tulikuwa tunaamka Tu tukisikia Ngoma tunaeka panga Kwa trousers tunachukua torch alafu tunafuata sauti Hadi tuipate
2024-10-30 05:56:00
11
maheillah
mapesa :
east gem siaya county onding village
2024-10-28 08:29:54
8
juboy2343
Reuben :
hii time kuna mdem amefinywa kando ya nyumba ingine 😅😅😂 place lights hazifiki weee
2024-10-28 20:04:06
5
To see more videos from user @thundermaster001, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About